Mo Dewji aweka wazi sababu za CEO Senzo kukimbia

Huyo Rage aliifikisha wapi Simba kimapato si amewahi kuwa Kiongozi simba.

Huyo kigwangala ameifikisha wapi simba.


Hivi unajua kabla ya MO kuwa muwekezaji Simba ilikuwa hovyo kimapato Kama Mbao FC ndio sababu ya Kile kikosi Cha wakina Ajibu , Ndemla kupandishwa kuja kucheza timu ya wakubwa na timu ilikuwa haina hela kununua hata wachesaji. Ndio msimu ambao Azam ilitoa hata wachesaji wao kuja Simba kwa mkopo kuokoa jahazi (Kimwaga alipelekwa Simba kwa mkopo). Hali ilikuwa mbaya msimbazi. Hao wakina Rage na wewe kilaza hatukuwahi kuwaona mkipeleka hata mabakuli ya chakula kuwapa wachezaji.

Mtu aliefuatwa kupigiwa magoti alikuwa MO dewiji ndio alikuja kuokoa jahazi na akaanza kulipa mishahara na usajili wake wa kwanza kufanya akamleta MAVUGO. Nyie mnapiga kelele mitandaoni ndio mnachoweza ila hata laki 1 mifukoni hamna.

Hata marehemu mzee Yahaya Akilimali alikuwa anaweza kuchapa Domo lake na kumuita Yousuph Manji ni mwizi pale yanga ila baaada ya manji kujitoa hakuwaji kutoa hata 50,000 kulipia mishahara wachezaji. Yanga ilifikia hatua inachangiwa hela na mashabiki tena kwa kutembeza bakuli uwanjani. Ilifikia hatua Mwinyi zahera anatoa hela Yake bank analipa wachezaji mishahara ( Uliza watu upewe taarifa ).


Hizi taarifa eti Simba au yanga kuwa na thamani hizo mnazozitaja kila siku na kuona MO na GSM wananufaika Ni Nyie mashabiki uchwara ndio mna hizo fikra.
 
Kilaza ni wewe unayefikiria kwa makalio tatizo sio uwekezaji bali zoezi la uwekezaji lilivyoendeshwa hivi unajua kuna mtu alitaka kutoa bilioni 50 na kujenga uwanja kwa hisa hizohizo au unaishi kwa kukariri
 
Simba Wana hisa asilimia 51, na Nyie wekeni mezani mzigo wemu.


Sio mnataka mwenye Hisa 49% aweke pesa peke yake.


We ulisikia wapi
No, biashara haifanywi hivyo.
Umenikuta nina kbanda cha Tigopesa barabarani mbagala zhakeem. Unataka tuwe wabia, mtaji wangu na kodi jumla yake ni milioni 5.
Nikakwambia ukitaka ubia 49% nakuuzia 15mil...
Wewe ukasema sawa, ila hizi milioni 15 ngoja niweke benki nitakuwa nalipa kodi ya kibanda na luku. Nikiulizia ile milioni 15 kwanini uweki kwenye capital account ya kibanda chetu, unasema tulia, unajua mimi ndio nalipa kodi?
That's nonsense!

Pamoja na kuwa thamani ya mtaji wangu ni milioni 5, bado nina wateja ambao ni wa mara kwa mara na wana akaunti CRDB, wateja wangu wa kila siku wengi wao wana dstv, wanapikia gesi etc ...
Kwa hiyo soko la wakala wa CRDB, Taifa gas na dstv wateja kama 1000 hivi. Hii goodwill ina thamani kubwa na ni asset ambayo aidha naweza kuombea mkopo au kukaribisha ubia lakini lazima kipengele hiki nikihesabu kam thamani ya mtaji wangu apart from fedha taslimu na mali zingine zisizohamishika.
Hiki ndicho hasa ninachokuuzia.
 
Acha upumbavu wewe mtaji wako ni milion 5 utawezaje kuuza Hisa za milion 15. Unaelewa hata ulichoandika.


Kwa akili zako finyu ulizopewa za kuvukia Barabara sishangai kwanini mnajazana ujinga. Kama hujui hata shares contribution inavyoenda.
 
Kilaza ni wewe unayefikiria kwa makalio tatizo sio uwekezaji bali zoezi la uwekezaji lilivyoendeshwa hivi unajua kuna mtu alitaka kutoa bilioni 50 na kujenga uwanja kwa hisa hizohizo au unaishi kwa kukariri
Ngedere wewe Sasa unajua kwanini Huyo wa Bilion 50 hakupewa akapewa wa Bilion 20.

Kwa taarifa yako zoezi Hilo unalosema lilienda vibaya lilisimamiwa na kumulikwa na Serikali kwa zaidi ya 100%.


Nyie vijana mnaokaa kwa mashemeji zenu na kuishi kwa fadhila ya dada yako atanuliwe mapaja huwa mna tabu sana. Ukute hata mfukoni hujawahi kuweka 50,000 ila kutwa kumzodoa Mo Dewji.


Kapuku mmoja wewe.
 
MO yuko Simba kwa sababu anaipenda Club ya Simba ila kwa faida sidhani.
 
Bwah! Bwah! Bwah! Bwah! Kwahiyo upande mmoja unaona Mo anapata hasara pale Simba lakini upande mwingine unaamini makubaliano ya Mo na Simba yamekaa kiujanja ujanja sio?!

Hivi kwa uelewa wako unaamini mwenye kuleta ujanja ujanja kwa mwenzake ni nani?! Hivi unaamini akina Hassani Dalali wanaweza kumletea janja janja Mo na sio Mo kuwafanyia janja janja akina Hassan Dalali?!

Sasa ukisikia janja janja ya hayo makubaliano ndo hiyo anayoi-practice Mo! Mwenyekiti yeye, Mhasibu yeye, Auditor yeye, lakini mwisho wa siku anatandikwa na Mtibwa kule Unguja, anaanza kulia lia kwamba anatumia 4Billion kwa mwaka!!! Mara ghafla, oh 3Billion!!!

FYI, nimemwambia baba asipite kabisa mitaa ya Msimbazi asije akadakwa na watu wa Mo halafu watangaze wamemsajiri super striker kutoka SA kwa Sh. 500M... Mo haaminiki!!!
 
Hawa mbuzi hawana tofauti na wale wanaomdiss mzee Yusuph kuwa karudia usanii wa taarabu kwamba ni ukafiri...ila wakiambiwa wamchangie alipe madeni yanayomsibu wanatoka mbio mbaya kabisa...Eti "kwani wakati anakopa alitushirikisha!?" wabongo wanafiki sana yani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ujanja ujanja upo kwenye makubaliano yao ya uwekezaji.
Moo ana hisa 49% na simba ana hisa 51 %.
Ilitakiwa kama wanataka kufanya uwekezaji wa bilioni 20.
Simba atoe kiasi chake na moo atoe kiasi chake.
wawekeze kwa miaka kadhaa wa kipata faida wagawane.
Ila sio kubaki moo alisema ataweka bilioni 20 kwenye account ya simba.
HYO NI NDOTO.
HATA MIMI NA WEWE HATUWEZI KUFANYA HIVYO..
SIMBA HAINA THAMANI YA BILIONI 20.
Tusidanganyane.
Kama wachezaji wanalipwa na wanasajiliwa na timu inakwenda vizuri HICHO NDO CHA MAANA
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Wasted sperm
 
Mimi kama shabiki wa soka ninachotaka ni timu isajili wachezaji wazuri na walipwe stahiki zao vizuri ili timu ifike mbali kuchukua mataji makubwa.
Simba kama timu kabla ya Mo walikua wanapata mapato lakini akuna cha maana walichofanya.
Kama kuna faida kubwa Mo anapata kutokana na Simba,basi acha apate lakini mustakabali wa timu unaenda kwa mtiririko mzuri hata kwa macho tu mtu unaweza kuona.
mapato ya Simba ya siku za nyuma kabla ya Mo yalikua yanaliwa na watu wachache na timu haina maendeleo yoyote yale.
Sasa kama mapato ya Simba kwa sasa anakula Mo na kila jambo la timu linakwenda sawia basi acha Mo ale,tena ale sana tu.
 

Haya tuambie wewe na Mashabiki wenzako wa Yanga Je munashirikishwa kwenye suala la Mapato na Matumizi? πŸ˜‚
Mana Ndala kwa kuongea Wasioyafanya wao hawazidiwi!
 

Punguza Ujuaji haya maswali ni ya Muhasibu sio ya Mshabiki.
Hakuna Kampuni wala Taasisi inayoendeshwa hivi ulivyouliza wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…