Mo Dewji aweka wazi sababu za CEO Senzo kukimbia

Hivi unajua kama hata wale GSM PALE YANGA HAKUNA WANACHO PATA ?.
uwekezaji wa mpira wa Tanzania ni ule "wewe toa MUNGU ATAKULIPA TUSAIDIE".
Ila hakuna mfumo wa uwekezaji wa club kupata na muwekezaji kupata. Maana hakuna vyanzo vya mapato vya Maana.
Matumizi ni makubwa kuliko inachoingiza club.
Hapo ndipo tunaowaita wawekezaji wetu moo na GSM kuingia mifukoni mwao Na kuziendesha hizi club

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Man, tunajadili suala la Mo na madai yake kwamba kwa mwaka anatumia 4 Billion ambayo ni HASARA tu, na hakuna anachopata!!

Unlike Mo, GSM hadi sasa sio wawekezaji wa Yanga bali wanafanya kama sponsors tu!!

Mo tayari ni mwekezaji kwahiyo there's no way anaweza kuwekeza bila kupata faida... na ndio maana nimesema pesa anayotumia ni exagerration kuita eti anapata hasara kwa sababu uhalisia hiyo ni investment anayotarajia possible return leo au kesho!

Hata hao GSM na wao pia sio stupid!! Kuna wanachokitafuta kupitia Yanga!
 
Mapato yote kwa mwaka hayazidi 2.5B (zawadi sport pesa 100M, udhamini sport pesa 400M, mapato ya uwanjani kwa msimu 800M including mechi na watani, mauzo ya jezi, haki za tv, blah blah less than 2.5B).

Mo anatoa zaidi ya 3B kwa mwaka kungaramia uendeshaji wa timu mbali na maendeleo ya miundo mbinu anayofanya.

Simba ingekuwa mapato ni 3B kwa mwaka wangejiendesha mwenyewe kwa kila kitu bila ufadhili wa Mo.
Mkuu kwani Unaposikia neno muwekezaji unaelewaje? Mo ni mwekezaji na kaamua kuwekeza katika Simba. Katika mtazamo wake kaona itamlipa ndio maana kaamua kuwekeza kwenye Simba.
 
Nasema hiviiii hapo simba au yanga hakuna mwanaume yoyote anayeweza kusema .
TUNAOMBA MOO AU GSM WAONDOKE CLUB ZETU ZINAWEZA KUJIONGOZA ZENYEWE KWA MAPATO YETU".
moo anayosema amepata hasara Inaweza ikawa kweli.hela zinatoka wapi?.
kila mwezi anatakiwa alipe mishahara wachezaji, na wafanyakazi wa simba..
Simba inaingiza nini?
Man, tunajadili suala la Mo na madai yake kwamba kwa mwaka anatumia 4 Billion ambayo ni HASARA tu, na hakuna anachopata!!

Unlike Mo, GSM hadi sasa sio wawekezaji wa Yanga bali wanafanya kama sponsors tu!!

Mo tayari ni mwekezaji kwahiyo there's no way anaweza kuwekeza bila kupata faida... na ndio maana nimesema pesa anayotumia ni exagerration kuita eti anapata hasara kwa sababu uhalisia hiyo ni investment anayotarajia possible return leo au kesho!

Hata hao GSM na wao pia sio stupid!! Kuna wanachokitafuta kupitia Yanga!

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Aweke bilioni 20 kwenye account ya simba ili iweje?.
Unajua moo anatoa kiasi gani kuwalipa wachezaji,wafanya kazi n.k
Kajenga moo arena unajua hela anatoa wapi?

Bilioni 20 kwa mwaka inakupa faida ya bilioni 3.4 ukiikopesha serikali.
Hiyo ndiyo gharama ya uwekezaji wa MO kwenye Simba kwa mwaka. Tatizo linalokuja ni yeye kufanya huo kama ni msaada au ni hela yake ya mfukoni.
Angekuwa anatoa 3bilions kwa mwaka, na zile bilioni 20 ziwe zinazalisha 3.4 bilions kwa mwaka, sportspesa nayo 1 bilion, na azam, MO halisi, KCB na mapato mengine ya getini, Simba ingekuwa na bajeti ya Bilioni karibu 8.
Sasa hivi Simba inaendeshwa kwa bajeti ya bilioni 5. THINK .....
 
Hawa jamaa wa naleta mchezo.
Yaani mtu achukue bilioni 20 akaziweke tu kwenye account ya simba alafu?.
Zifanye nini?.
Moo anachokitoa kinatosha sanaa
Bora hiyo bilioni 20 angenunua kiwanda cha kutengeneza misumari kama alivyoanisha wakati ule angepata faida kubwa sana compared na kutupa pesa Simba.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Hizi hesabu zako HAZIPO.
Uweke bilioni 20 kwenye account ya simba.
Kwa ligi gani?.
Tunaenda kucheza UEFA?
Bilioni 20 kwa mwaka inakupa faida ya bilioni 3.4 ukiikopesha serikali.
Hiyo ndiyo gharama ya uwekezaji wa MO kwenye Simba kwa mwaka. Tatizo linalokuja ni yeye kufanya huo kama ni msaada au ni hela yake ya mfukoni.
Angekuwa anatoa 3bilions kwa mwaka, na zile bilioni 20 ziwe zinazalisha 3.4 bilions kwa mwaka, sportspesa nayo 1 bilion, na azam, MO halisi, KCB na mapato mengine ya getini, Simba ingekuwa na bajeti ya Bilioni karibu 8.
Sasa hivi Simba inaendeshwa kwa bajeti ya bilioni 5. THINK .....

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Nasema hiviiii hapo simba au yanga hakuna mwanaume yoyote anayeweza kusema .
TUNAOMBA MOO AU GSM WAONDOKE CLUB ZETU ZINAWEZA KUJIONGOZA ZENYEWE KWA MAPATO YETU".
moo anayosema amepata hasara Inaweza ikawa kweli.hela zinatoka wapi?.
kila mwezi anatakiwa alipe mishahara wachezaji, na wafanyakazi wa simba..
Simba inaingiza nini?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Narudia... Mo ni Mwekezaji pale Simba na hayupo Simba kama shabiki!

Hakuna Mwekezaji anayeweza kuwekeza billions of TZS halafu awe anapata hasara tu! Hiyo mishahara na mengine unayotaja ambayo kwa ujumla anatuambia kwa mwaka ni 3B hizo ni cost of doing business and not charity fund to Simba SC!
 
Bora hiyo bilioni 20 angenunua kiwanda cha kutengeneza misumari kama alivyoanisha wakati ule angepata faida kubwa sana compared na kutupa pesa Simba.
Kwahiyo mo ni mjinga? Hakufanya mchanganuo wa kujua kama kuwekeza Simba kumtalipa au lah, na kutamlipa vipi na baada ya muda gani? Kama anapata hasara, je nguvu ya kuendelea kutupa ela tena Simba anaipata wapi?
 
Hizi hesabu zako HAZIPO.
Uweke bilioni 20 kwenye account ya simba.
Kwa ligi gani?.
Tunaenda kucheza UEFA?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Huo ni wajibu wake, tena kimahakama kutokana na mkataba wa uwekezaji. Tangu aingie Simba, ni uwekezaji wa MO halisi tu dio ulioongezeka, nao ni 200milioni.
Msipende kuona kama mnapewa msaada, hapana.
 
Ulichoandika wewe hapo inamaanisha kuwa mo ana shea 100% na wananchi (wapenzi na mashabiki wa Simba) wana Shea 0% hivyo hawapaswi kujua chochote kuhusu timu yao. Na ndio maana wewe pamoja na miongoni mwa mashabiki (ukitoa viongozi wa Simba) hamjui chochote kuhusu mapato ya timu.
Wanaopaswa kujua ni wanachama ambao wanamiliki asilimia 51 sio Mimi na wewe ambao ni mashabiki tu.

Na kwenye vikao vya wanachama hayo mambo ya mapato na matumizi yalisomwa( rejea kikao chao cha msimu uliopita).
Na simba ilionekana wazi kupata hasara( kama sio kutumia pesa ya mfukoni).
Ko si sawa kumhoji shabiki exactly figures za mapato na matumizi hayo ni majukumu ya wanachama sasa.
 
Hizo bilioni 20 simba wanazo?.
Kama wanazo wajiendeshe wenyewe
Huo ni wajibu wake, tena kimahakama kutokana na mkataba wa uwekezaji. Tangu aingie Simba, ni uwekezaji wa MO halisi tu dio ulioongezeka, nao ni 200milioni.
Msipende kuona kama mnapewa msaada, hapana.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Hizi hesabu zako HAZIPO.
Uweke bilioni 20 kwenye account ya simba.
Kwa ligi gani?.
Tunaenda kucheza UEFA?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Duh! Ndugu yangu, hapo Kobello amekuamsha na badala yake hukutakiwa kujibu kwa haraka namna hiyo!! Hamna hesabu kama hiyo kivipi?

Ungemsoma taratibu ungegundua kwamba alichosema sio kuweka kwenye akaunti ya Simba bali ukiikopesha serikali! Kwa maana nyingijne, wale BoT huwa wanatoa Hati Fungani!

Mbali na BoT, nakumbuka mwaka jana NMB na wenyewe walitoa Hati Fungani ambayo riba yake kwa mwaka ilikuwa 10%! Sasa ukichukua hiyo hiyo ya NMB na 10% yao, ina 20B kwa mwaka inakupa 2Billion!!

Which means, badala ya Mo kutoa pesa mfukoni kama anavyojaribu kuhamisha watu, anachukua ile 20B mliyomuuzia Simba ananunua hati fungani na faida anayopata kutoka kwenye hiyo hati fungani ndo anatumia kuiendesha Simba!!!

Miaka 10 baadae mnapiga mahesabu mnakuta ametumia zaidi ya 20B lakini kumbe ni 20B ilitokana na faida ya pesa ambayo ndo thamani ya hisa alizonunua lakini akaamua kununulia hati fungani ili asitoe pesa mfukoni!!
 
Endelea kuendekeza akili za usimba na uyanga. Unadhani kila mtu ana akili za usimba na uyanga?

Sasa kama wewe huna akili za usimba na uyanga huu umeufuata na kuuchangia wa nini?
Ulipoona unahusu simba na kwa kuwa huna akili za usimba ni kwa nini usingepita tu kimya kimya..!?
Kama unaona hayakuhusu pita kushoto bwana utopolo!
 
Moo pale simba sio muwekezaji.
Club za Tanzania kuhusu uwekezaji bado.
TUNASAIDIANA TU. yeye anatangaza biashara zake kwetu na sisi tu nanunua sababu anatusaidia kwenye club yetu.
Ila kuhusu hela pale simba na yanga hamnaa.
Mimi ukiniambia moo na GSM wanapata hela kwenye hizi club nakataa.
Maana kabla ya wao kuingia kwenye hizi club hivyo vyanzo vya mapato vilikuwepo lakini hizi club zilishindwa KUJIENDESHA..
Kama yanga na simba wanaweza wawafukuze moo na GSM alafu tuone kama wataweza kuziendesha
Narudia... Mo ni Mwekezaji pale Simba na hayupo Simba kama shabiki!

Hakuna Mwekezaji anayeweza kuwekeza billions of TZS halafu awe anapata hasara tu! Hiyo mishahara na mengine unayotaja ambayo kwa ujumla anatuambia kwa mwaka ni 3B hizo ni cost of doing business and not charity fund to Simba SC!

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Hivi hao wadhamini aliowataja na hivyo vyanzo vya mapato kabla ya moo kuingia simba HAVIKUWEPO?
MBONA SIMBA WALISHINDWA KUJIENDESHA?.
Duh! Ndugu yangu, hapo Kobello amekuamsha na badala yake hukutakiwa kujibu kwa haraka namna hiyo!! Hamna hesabu kama hiyo kivipi?

Ungemsoma taratibu ungegundua kwamba alichosema sio kuweka kwenye akaunti ya Simba bali ukiikopesha serikali! Kwa maana nyingijne, wale BoT huwa wanatoa Hati Fungani!

Mbali na BoT, nakumbuka mwaka jana NMB na wenyewe walitoa Hati Fungani ambayo riba yake kwa mwaka ilikuwa 10%! Sasa ukichukua hiyo hiyo ya NMB na 10% yao, ina 20B kwa mwaka inakupa 2Billion!!

Which means, badala ya Mo kutoa pesa mfukoni kama anavyojaribu kuhamisha watu, anachukua ile 20B mliyomuuzia Simba ananunua hati fungani na faida anayopata kutoka kwenye hiyo hati fungani ndo anatumia kuiendesha Simba!!!

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Moo pale simba sio muwekezaji.
Club za Tanzania kuhusu uwekezaji bado.
TUNASAIDIANA TU. yeye anatangaza biashara zake kwetu na sisi tu nanunua sababu anatusaidia kwenye club yetu.
Ila kuhusu hela pale simba na yanga hamnaa.
Mimi ukiniambia moo na GSM wanapata hela kwenye hizi club nakataa.
Maana kabla ya wao kuingia kwenye hizi club hivyo vyanzo vya mapato vilikuwepo lakini hizi club zilishindwa KUJIENDESHA..
Kama yanga na simba wanaweza wawafukuze moo na GSM alafu tuone kama wataweza kuziendesha

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Sasa kama sio mwekezaji, na zile 49% Club Shares zinahusu nini?! Naona unaleta tena habari za GSM; Mo ana 49% pale Simba, hao GSM wana asilimia ngapi pale Yanga?!
 
Hayo makubaliano ya simba na moo kuhusu uwekezaji mimi naona yamekaaa kiujanja ujanja..
Kwenye uwekezaji mkiamua kuweka mizigo.
Inatakiwa wewe utoe na mwenzako atoe.
Lakini ebu jiulize simba ameweka bei kwenye huo uwekezaji?
Sasa kama sio mwekezaji, na zile 49% Club Shares zinahusu nini?! Naona unaleta tena habari za GSM; Mo ana 49% pale Simba, hao GSM wana asilimia ngapi pale Yanga?!

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Eneo walipewa naa kikwete,nyasi bandia zilipozuiliwa bandarini samata ndio alizilipia,halafu hiyo b 20 yeye kama mwekezaji anaemiliki 49% alishakubaliana na wanachama wanaomiliki 51% kama ndio itakua pesa ya uwekezaji,halafu unaongea kama vile mo anufaiki cct na smba while si kweli

Back
Top Bottom