Mo Dewji azidisha utata wa kutekwa kwake baada ya mahojiano BBC

Tunadanganywa tu....

Hizo khabari zote ni fabrication na muandikaji wa script anajulikana
 
Amesema wahudumu wa pale hotelini wanamjua.....ndio maana walipomwona tu kabla hajasema chochote walimpigia simu baba yake!

..toka kule EU mpaka hotelini?

..na watekaji si walitelekeza gari na kujaribu kulichoma moto maeneo ya gymkhana?
 
mo alisema alivalishwa kanga achana na mambo yake kunywa beer tu.
 
Ameshakuwa mpiga kinanda wa praise team
 
kumbe MO anakaa kwao
 
Unaijua hotel iliyo karibu na ofisi za EU?

Mo hakusema habari za gari kutaka kuchomwa moto!

..hivi kwa akili zako unaweza kumteka mtu halafu akaenda kumbwaga karibu na ubalozi wa EU?

..halafu ukaendesha gari linalotafutwa na Polisi na kulichoma moto karibu na wizara ya mambo ya ndani?
 
..hivi kwa akili zako unaweza kumteka mtu halafu akaenda kumbwaga karibu na ubalozi wa EU?

..halafu ukaendesha gari linalotafutwa na Polisi na kulichoma moto karibu na wizara ya nambo ya ndani?
Kwa akili ya MO!
 
..hivi kwa akili zako unaweza kumteka mtu halafu akaenda kumbwaga karibu na ubalozi wa EU?

..halafu ukaendesha gari linalotafutwa na Polisi na kulichoma moto karibu na wizara ya nambo ya ndani?
Hayo maajabu yanaweza yakatokea ndani ya nchi ya Tanzania pekee!
 
Ila amejidhalilisha ,atasemaje wakimvua nguo zote wanafunga mikono halafu wanamlaza akiwa kajifunga kanga tu.Marinda je,yalibaki salama?
 

Wakati ule, kulikuwa na doria kila kona ya Dar.
Kuna maswali mengi, ambayo wengi hawajiulizi. Ilikuwaje baada ya kupatikana kwake pale sehemu alipotelekezwa, hawakufahamishwa polisi ili waje pale kumchukua, au kumpeleka kwake? Ilikuwaje hao wazazi wake watoke huko kwao, bila kuwafahamisha polisi kuwa mtoto wao yupo sehemu fulani, bali wakaenda moja kwa moja mpaka sehemu ya tukio wao tu? Pia, hebu tujiulize, hao wazazi, walikuwa na ujasiri gani wa kuondoka na mtoto wao, usiku huo wa manane bila kuwafahamisha polisi na kurudi nyumbani kwao? Hebu tujiulize, kama wangekutana na doria ya polisi njiani, wakasimamishwa, na hao polisi kumuona huyo Mo kwenye gari, wangeaminiwa kuwa wao (hao ndugu zake) sio wao ndio walikuwa wamemficha sehemu na kwa wakati huo wanamuhamisha sehemu nyingine?
Hesabu za haraka za bila kumung`unya maneno, akina Mambosasa wanajua Mo alikuwa wapi, na kwa madhumuni gani.
 
Kama mo mwenyewe kasema hayo wewe ni nani hata utake ya ziada?

Kama una la kuongezea nenda idara husika ya upelelezi kapeleke raarifa yako kwa njia ya maandishi
kama angefanya kama ulivomshauri, wewe ungepata wapi wazo la kuchangia? Kama unakereka na hoja si lazima uchangie. Hili ni jukwaa huru, mradi uepuke lugha chafu na maudhi ya makusudi kwa mtu au kikundi.
 
Huenda hiyo nyumba ina harufu yake ya kipekee, hivyo alipoenda aliitambua kwa harufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…