Mo Dewji azidisha utata wa kutekwa kwake baada ya mahojiano BBC

Huenda hiyo nyumba ina harufu yake ya kipekee, hivyo alipoenda aliitambua kwa harufu.
Au labda aliconstruct ramani katika mind yake. Hivyo alipotoka alifuata hiyo ramani alikopitishwa hadi akafika kwenye hiyo nyumba. Sijui kwa nini Kikeke hakumuuliza ulijuaje hiyo location ya hiyo nyumba ?
 
Hilo eneo la Gymkana lina camera za kiusalama. Hata Rais alionyesha mashaka jinsi tukio lilivyokuwa
Mshikaji alikuwa ikulu kule, kwa Magu, japo mtaani ilitangazwa kuwa katekwa!. Kwenye mahojiano na BBC kaji expose......"walikuwa wanaongea lugha yao"
 
Mkuu wewe ni mzazi kweli? Kwa hiyo mwanao aliepotea akupigie simu kukueleza alipo still bado uwe na doubts serious kumfata?
 
Nani alimuona
 
Mo anajaribu kuwalinda watekaji wake japo inonekana anawafahamu pamoja na aliyewatuma.

Attitude ya akina Mo baada ya kutekwa, inafanya vitendo kama hivi viendelee kushamiri kwani ni ile ya ku-sympathise na watekaji. Mo ni bure sana.
 
Ila amejidhalilisha ,atasemaje wakimvua nguo zote wanafunga mikono halafu wanamlaza akiwa kajifunga kanga tu.Marinda je,yalibaki salama?
Hahaha alishindwa kusema tu kwasababu alikuwa BBC, iko siku akiwa clouds kwenye vile kipindi vya kimbea atasema.
 
Mo anajaribu kuwalinda watekaji wake japo inonekana anawafahamu pamoja na aliyewatuma.

Attitude ya akina Mo baada ya kutekwa, inafanya vitendo kama hivi viendelee kushamiri kwani ni ile ya ku-sympathise na watekaji. Mo ni bure sana.
Alichofanya Mo ni "kuhalalisha" vitendo vya kishenzi vya kutekana vya akina Bashite vishamiri nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…