Mo Dewji: Kama Mayele yupo tayari kuvunja mkataba wake na Yanga, tutambeba

Hahahaha ko ata derby haangaliii af kumbe yeye sio mtu wa michezo kama mayere hamjui anamjua nani bongo?😂😂😂
Hivi wewe ungekuwa mtu wa michezo ungeandika "mayere"
 
GSM ingekuwa biashara yake mwenyewe hao ndugu zake wangemwagiwa t.......kali?
 
Makolo kununua mchezaji mwenye mkataba hawawezi mpaka mchezaji avunje mkataba ni kama mafisi yanayovizia mizoga
 
Acha nikusaidie.....najua makolo mnapresha ya mechi

Mo..
"Simba tuko tayari kumpata mchezaji bora popote Afrika kwa hiyo kama Mayele atakuwa ameorodheshwa na mkataba wake yuko tayari kuuvunja na Yanga na kuja Simba basi simba itakuwa tayari,”
Mayele anatamani kucheza champions ligue na super cup ila klabu aliyopo ndio inamwangusha sana. Mwanzoni aliambiwa yanga ni kama simba ila alipoujua ukweli alilia sana
 
Kama anampenda Mayele ahamie yanga na sii amhamishie 🦁
 
Kwanza hawawezi wamemrubuni Faisal Mwisho wemtelekeza😂
 
Hana hela za kununua wachezaji kwa kuvunja mikataba, hajawahi. Kama anazo wachezaji wako wengi siyo Mayele tu
 
Nasikia wanasubiri mwanamke aliyefiwa na mumewe ndio wanaoa ha ha ha!
 
Hahahaha ko ata derby haangaliii af kumbe yeye sio mtu wa michezo kama mayere hamjui anamjua nani bongo?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani kuwa mtu wa michezo lazima uangalie mechi za utopolo?????
Mfano mimi mechi ya uto ninayoiangalia ni ile wanayocheza na simba tu...sababu sivutiwi na aina ya soka lao.........

Yeye kasema haifuatilii uto ,hajasema kuwa haangalii hata derby,

AKILI MTU WANGU.
 
Anataka Mayele mwenyewe avunje mkataba na Yanga! Ndiyo wamsajili! 🤔

Hivi usikute hata yule mla ugali na sukari, atakuwa alishawishiwa na watu wajanja kama hawa!!

Hivi katika hali ya kawaida, mchezaji anayejitambua kama Mayele anaweza kweli kuvunja mkataba wake na Yanga, ili akasajiliwe simba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…