Mo Dewji: Karibuni nitaikatia tamaa Simba

Iwe tu kaongea kwa mzaha au kwa makusudi fulani ku catch attention ila kama yupo serious atakuwa MJINGA na MLOPOKAJI.
Hakuna utani katika Hilo labda tukubaliane tu ni mropokaji. Huwa anaandika akiona watu wamechachamaa hasa Wana Simba, anajifanya kufuta Tweets zake na kukaa kimya.
 
Mo ana hoja lakini mbumbumbu wanalalamika
Fanya mabadiliko yawepo
Mo anawekeza pesa yako mfumo wa zamani hapati faida
Timu imeshikwa na wazee hawataki mabadiliko
Mo ni mfanyabiashara anataka faida aweke hela apate hela
Mbumbumbu lawama kibao mpe mangungu asiyetaka mabadiliko
 
Kama anataka kuondoka aondoke tutapitia kipindi kigumu wanasimba kitapita tu kwanini atingingishe kibiriti wakati muhimu na nyeti kama huu
 
Mbabaishaji huyu akwende zake tuchangishane hata buku buku kuliko kuendelea na hii aibu.
Kwa kweli Dewji anawakosea Sana Wanasimba. Ni kama hataki kusikia Wana furaha yeye lazima alete Jambo la kuvuruga. Hivi suala kubwa kama Mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji wa timu ni ya kuuliza mitandaoni? Hizi timu za Kariakoo zimebeba itikadi, Imani na furaha ya watu wengi. Kutibua furaha Yao bila mpangilio ni kuwapa faida upande wa pili kuwazodoa watu wako.
 
Mfadhili lialia na mwekezaji domo kaya MO, amewaonya washabiki Simba wakiendelea kumvunjia heshima kutokana tweet yake.Atawaacha wachezaji huko waliko pre season bila kulipa gharama.na kusababisha kuzuiwa mabegi yao na watarudi kwa miguu.hapendi ujinga wakati hawana mchango .ada za kadi uawanahama hazifiki hata milioni 20.wanaongea Nini?
 
Hao ndio Wawekezaji wa Bongo halafu Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla akiwaponda Wawekezaji Uchwara mnamrushia maneno makali makali

Sasa huyu na DP World nani ana afadhali?πŸ˜ƒ

Watanganyika bado tuna Ututusa mwingi sana, imagine Makolo anakabidhiwa Bandari katika Sera ya Uwekezaji wa ndani

Mungu wa mbinguni atupe salama!
 
MO ni tapeli anaishi kitapeli sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…