Mo Dewji: Karibuni nitaikatia tamaa Simba

Mo Dewji: Karibuni nitaikatia tamaa Simba

Mwisho wa siku ana Hoja, Ukitoka Mengine yote, Why Miaka 6 mchakato haukamiliki, Anaweza Mo kuwa na Matatizo Yake Lakini Kwanini Miaka 6 mchakato haukamiliki? Hata muwekezaji Mwingine akija Nani Atavumilia Miaka 6

Simba Tuangalie wapi tunakosea
 
Huyu anawaanda Simba kuanza kulalamika msimu ujao.
Nijuacho ni kwamba baada ya kumuweka pembeni mtu wake, yaani Barbara, hatakuja kuruhusu Simba ifike popote isije ikaonekana yeye alishindwa, halafu wengine wakaja kuweza, lazima awatibulie tu.
Mchawi wa Simba msimu ujao ni MO.
 
Team inasafiri kwenda pre season. Jamaa kaletewa invoice ya mana akili ikamkaa sawa hii yote ni ubahili wakutoa hela alitegemea kutoa ktk mfuko mwingine lkn akakuta amechanganya mapato ya simba nabiashara zake wkt anapata hela ndefu tu through that
 
Screenshot_20230711-170703_WhatsApp.jpg

Huyu Ponjoro bana, ameona bora aifute tweet yake😃
 
Iwe tu kaongea kwa mzaha au kwa makusudi fulani ku catch attention ila kama yupo serious atakuwa MJINGA na MLOPOKAJI.
Yaani MO awe mjinga!! Halafu wewe mmatumbi ambae hata kipato chako hakiwezi kumaliza mwezi ndio uwe na akili? Maskini hawezi kumuelewa tajiri hata siku moja!! Wewe kazi yako ni kushangilia na kubishana kwenye vijiwe vya gahawa,huwezi kumuelewa tajiri! Akili yako inawaza utapataje mnafu na dona ili uishi.

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa asiwatishe hivyo.
Pale Yanga alikuwepo Yusuf Manj, yeye alikuwa kila kitu kuhusu timu.
Aliondoka kaja Gharib na timu inafanya vizuri zaidi.
Mo akiondoka Simba itakuwepo na anaweza kuja mwingine timu ikifanya vizuri zaidi.
Kwaio uyo mwingine nae akija nae amwage pesa tu bila mfumo maalumu!! Watanzania mna akili za kitumwa mno! Mtu analalamika mchakato ukamilike Ili timu iweze kujiendesha kwa faida bila kutegemea mapato ya mtu mmoja ila watanzania kwa akili zenu za kitumwa hamuwezi kuelewa!!

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Ningemwelewa kama angebainisha eneo ambalo hiyo transformation imekwamia. Hapo ni katupa jiwe gizani na huenda linaweza kumrudia hata yeye mwenyewe.
Poor tweet!
 
Rais wa heshima wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo Dewji'kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema "Transformation ya Simba bado haijakamilika. huu ni mwaka wa 6. Karibuni ntakata tamaa"

Mohammed Dewji aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu Simba miaka minne mfululizo hadi alijiuzulu nafasi hiyo mnamo Septemba 21, 2021.

Wakati akitoa taarifa yake ya kujiuzulu alisema "Nimeachia nafasi hiyo lakini nitaendelea kuwa Simba mpaka siku ya mwisho, sijajiondoa kwenye Simba bado ni mwekezaji mimi kwa sasa mara nyingi sipo nchini Tanzania nakuwa nje"
Hawa wafanyabishara hawana msaada wowote kwenye hizi timu zaidi kuzifanya kama ngazi yao ya kunyooshea mambo yao. Hizi timu zikitaka maenedleo ya kweli zijitoe kwenye utumwa wa hawa jamaa.
 
Unajuwa unapo fanya kazi na madunduka yataka moyo, kama wanachekelea uturuki wanasahau vikombe. hawajamaa waajabu sana.
 
Huyu jamaa asiwatishe hivyo.
Pale Yanga alikuwepo Yusuf Manj, yeye alikuwa kila kitu kuhusu timu.
Aliondoka kaja Gharib na timu inafanya vizuri zaidi.
Mo akiondoka Simba itakuwepo na anaweza kuja mwingine timu ikifanya vizuri zaidi.
Eehh mbona kama unaruka stage..alipoondoka Manji ikawaje kawaje???...
Sio kirahis kihivyo!!
 
Mo dewj

Anatia aibu bure

Swali ,kwamuda huo wote angekuwa ameazisha team Yako angekuwa wapi na hiyotimu

Aache kulalamika na vilevile hakuna anayemlazimisha kua mwekezaji ,anaweza Baki na wanachama wake na msaada wake akitka
 
Back
Top Bottom