Mo Dewji nakuheshimu, ila unakoelekea sasa utaharibu na utaanza hata Kutukera na Sisi tunaokubali 'Kutukanwa' kwa ajili ya Kukutetea Mitandaoni

Kigogo aliwahi andika upuuzi wa huyu Kanjiba anaowafanyia wafanyakazi anawateka na kuwatishia kuwapoteza wakidai haki zao.
 
Sasa hivi inasemekana anataka kuvuruga usajili wa mchezaji flan kivyovyote vile ili kutuliza sakata lake la kumfokea chama insta live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…