Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanjiba ni mshambenga hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu sio MO huyu ni MEE [emoji238]
Wakina MO wanajulikana duniani huyu ni Mwamedi a.k.a mudi waiti.
Kigogo aliwahi andika upuuzi wa huyu Kanjiba anaowafanyia wafanyakazi anawateka na kuwatishia kuwapoteza wakidai haki zao.Mo ni mswahili tu
hata wakati ametekwa ni halali kabisa
coz hatuwezijua na nao waliomteka aliwafanyia nini kibaya!
Wachezaji ni watu wa kupita tu Leo yupo hapa na kesho yupo kule!
Unamuuliza mchezaji eti Manara alilipa hela ya uhamisho wako?
Yaani nawaza hata kwenye kampuni yake
Kwa mwenendo huu
Je hao wafanyakazi si wana shida sana?
Wakati fulani watu wanaficha makucha yao
Ila kamwe hawawezi kuyaficha milele
Huwa ni swala tu la muda, ataonesha tabia yake halisi!
Hii ni baada ya ile check ya 20B!!
ana nguvu sasa!
Basi wengi wataamini kuwa ni kweli simu ya kumzuia Diamond ilipigwa!
Simba sc ni chama kubwa kwa sasa hadi nje matajiri wameiona!
Hivyo hata wakiambiwa waje wawekeze basi watakimbizana kuja hadi simba sc waseme baaaaasiii!
Hata akina Roman Abro wa Chelsea sc hajawahi kuingilia maisha binafsi ya mchezaji!
Hasa anapoongelea mambo yake binafsi na watu wake au marafiki!