Mo Dewji nakuuliza nivujishe Siri ya Bilioni 20 ulikoiweka na sasa unajipatia Hela za bure bila wana Simba SC kujua au niuchune tuendele kuwa Mazuzu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hakika Wewe Mhindi ni Mjanja sijapata kuona. Kwahiyo mwenyewe ulidhani Siri itafichwa sana na wenye Ubobezi wa kutafuta Taarifa Ngumu Ngumu na za Hatari akina GENTAMYCINE hatutoijua? Nina uhakika nikilisanua hapa kwa ulichokifanya leo hii hii Amani inatoweka Simba SC na hata Serikali itatukamata kwa Uhuni na Usanii uliotufanyia. Hakikisha ukienda Msikitini Leo au Kesho ukatubu kwa Allah kwa ulichotufanyia.

Sasa nimewaelewa kwanini akina Dk. Kigangwala na Mzee wetu mwenye Hati halali ya Simba SC Kilomoni hawakutaki. Haya kuna Watu hapa JamiiForums mnajifanya mnataka Kushindana nami kupata Taarifa za Ndani mbona hii Kali na ya Siri pamoja na Waanishi wenu Uchwara wa Michezo hawana / hawaijui ila Kudadadeki The King GENTAMYCINE nimeipata tena kutoka kule kule Jikoni halafu najiamini nayo kwa 100%.
 
Mo Dewji ni TAPELI.

Kwanza hatumii mifumo ya SIMBA.

Pesa zote anatumia account zake, maana yake anachuma na kusepa zikitokea figisu za kimfumo.

Billion 20 kaweka Fixed deposits, faida ya Milioni 200 ndio anapeleka Simba Kama gharama za uendeshaji.

Hapo aliwafukuza Sportpesa akaleta Wahindi wenzake wa Mbet.

Jezi za Simba ni mchongo wake, alimweka Vunjabei deal likamshinda amweka Sandaland. Kwenye Jezi anatangaza mambo yake bure.

Yanga kwa ada ya uanachama, wanavuna 1 billion na nusu kwa mwaka, na miaka ishirini ni billion 30 na wataendelea kulipia.

Simba mmempa Mo dewji timu nzima milele kwa billion 20 za kimchongo.

Mmetapeliwa.
 
Kuna taarifa zingine ni nyeti na za hatari sana zikivuja ni rahisi kumjua alievujisha, maana inategemea nani na nani wana access au codes, hapa Mkuu dawa ni kuuchuna tu mbumbumbu fc ibaki vile vile guvu moya nafasi ya tatu ligi kuu ikacheze ndondo cup mwakani na ndipo itaamka toka usingizini !
 
Mo Dewji ni TAPELI.

Kwanza hatumii mifumo ya SIMBA.

Pesa zote anatumia account zake, maana yake anachuma na kusepa zikitokea figisu za kimfumo.

Billion 20 kaweka Fixed deposits, faida ya Milioni 200 ndio anapeleka Simba Kama gharama za uendeshaji.

Hapo aliwafukuza Sportpesa akaleta Wahindi wenzake wa Mbet.

Jezi za Simba ni mchongo wake, alimweka Vunjabei deal likamshinda amweka Sandaland. Kwenye Jezi anatangaza mambo yake bure.

Yanga kwa ada ya uanachama, wanavuna 1 billion na nusu kwa mwaka, na miaka ishirini ni billion 30 na wataendelea kulipia.

Simba mmempa Mo dewji timu nzima milele kwa billion 20 za kimchongo.

Mmetapeliwa.
Daaah kama ni ya kweli haya basi Mo ni namba ingine, jamaa ana MBA ya USA kakutana na waswahili kuwatia adabu.
 
Hakika Wewe Mhindi ni Mjanja sijapata kuona. Kwahiyo mwenyewe ulidhani Siri itafichwa sana na wenye Ubobezi wa kutafuta Taarifa Ngumu Ngumu na za Hatari akina GENTAMYCINE hatutoijua? Nina uhakika nikilisanua hapa kwa ulichokifanya leo hii hii Amani inatoweka Simba SC na hata Serikali itatukamata kwa Uhuni na Usanii uliotufanyia. Hakikisha ukienda Msikitini Leo au Kesho ukatubu kwa Allah kwa ulichotufanyia.

Sasa nimewaelewa kwanini akina Dk. Kigangwala na Mzee wetu mwenye Hati halali ya Simba SC Kilomoni hawakutaki. Haya kuna Watu hapa JamiiForums mnajifanya mnataka Kushindana nami kupata Taarifa za Ndani mbona hii Kali na ya Siri pamoja na Waanishi wenu Uchwara wa Michezo hawana / hawaijui ila Kudadadeki The King GENTAMYCINE nimeipata tena kutoka kule kule Jikoni halafu najiamini nayo kwa 100%.
Wewe ni muongo sana farasi
 
Hakuna siri tena kila kitu kipo wazi, hivi madundunka huwa hamuelewi nini ?

  • MO DEWJI KAINUNUA SIMBA KWA PESA ALIZOTUMIA KUIGHARAMIA TIMU.
  • SIMBA NI MALI YAKE NA ALISHAKIRI KWENYE INTERVIEW,
  • SIMBA NI MALI YA DEWJI NA VIZAZI VIJAVYO.
 
Mo Dewji ni TAPELI.

Kwanza hatumii mifumo ya SIMBA.

Pesa zote anatumia account zake, maana yake anachuma na kusepa zikitokea figisu za kimfumo.

Billion 20 kaweka Fixed deposits, faida ya Milioni 200 ndio anapeleka Simba Kama gharama za uendeshaji.

Hapo aliwafukuza Sportpesa akaleta Wahindi wenzake wa Mbet.

Jezi za Simba ni mchongo wake, alimweka Vunjabei deal likamshinda amweka Sandaland. Kwenye Jezi anatangaza mambo yake bure.

Yanga kwa ada ya uanachama, wanavuna 1 billion na nusu kwa mwaka, na miaka ishirini ni billion 30 na wataendelea kulipia.

Simba mmempa Mo dewji timu nzima milele kwa billion 20 za kimchongo.

Mmetapeliwa.
Usituamshe, tuache tuendelee kulala usingizi mnono!
 
Hakika Wewe Mhindi ni Mjanja sijapata kuona. Kwahiyo mwenyewe ulidhani Siri itafichwa sana na wenye Ubobezi wa kutafuta Taarifa Ngumu Ngumu na za Hatari akina GENTAMYCINE hatutoijua? Nina uhakika nikilisanua hapa kwa ulichokifanya leo hii hii Amani inatoweka Simba SC na hata Serikali itatukamata kwa Uhuni na Usanii uliotufanyia. Hakikisha ukienda Msikitini Leo au Kesho ukatubu kwa Allah kwa ulichotufanyia.

Sasa nimewaelewa kwanini akina Dk. Kigangwala na Mzee wetu mwenye Hati halali ya Simba SC Kilomoni hawakutaki. Haya kuna Watu hapa JamiiForums mnajifanya mnataka Kushindana nami kupata Taarifa za Ndani mbona hii Kali na ya Siri pamoja na Waanishi wenu Uchwara wa Michezo hawana / hawaijui ila Kudadadeki The King GENTAMYCINE nimeipata tena kutoka kule kule Jikoni halafu najiamini nayo kwa 100%.
kama una siri zitoe tu
 
Comments reserved
 
We jamaa huwa muongo muongo sana na ulishaleta uongo mwingi sana hapa jamvini nashangaa bado hujapigwa ban mpaka sa iz na huu uongo uongo wako
 
Kuna stori zingine huwa analeta za kweli maana hata saa mbovu hupatia, one day alimponda sana dogo mzee wa my wetu akiwa bado Azam kuwa dogo hafai uto hata kwa kulumangia wakati no one knew nothing, second day dogo akatangazwa semaji la uto nikabaki mdomo wazi, na dogo huyu huyu ametangaza akimuona mangungo au kajulo atawapiga bakora sababu simba ishakuwa jumba bovu wanatapa tapa wa kumuangushia na huku hawataki kwenda kupiga magoti jangwani uto kujifunza!! Nguvu pekee ya Simba ni Kibu tukimchukua uto, simba wamekwisha kwa namna nimeangalia mechi zote za simba msimu huu. Eng Hersi vunja benki chukua Kibu utakuja kusema nilikushauri vizuri.

Ila mfumo wa uongozi Yanga ni kiboko, umetisha sana , kuna kundi kubwa na wamejipanga kisomi sana, hawa jamaa wa jangwani wasipofurugwa hii timu ya Yanga itafika level za Real Madrid, Bayer Leverkusen, Barcelona. Kwasasa Africa hatuna mpinzani Mamelodi tuliwatungua tukanyongwa ushindi wetu. Eng Hersi mtu mbad sana hakuna kama yeye Africa nzima kwa sasa. We need Eng Hersi for at least ten years.
 
Back
Top Bottom