Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,443
- 2,643
Kama unapata hasara kwanini hutaki kuuza hisa hizo? halafu tunataka financial statements ziwekwe public tujue kweli unapata hasara sio kuja na maneno ya blah blah bila facts.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unapata hasara kwanini hutaki kuuza hisa hizo? halafu tunataka financial statements ziwekwe public tujue kweli unapata hasara sio kuja na maneno ya blah blah bila facts.
MO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA, KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE.
“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia"
“Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana ni Bil. 20 lakini tukifanya mahesabu imefika labda Bil. 50 ambazo nimewekeza, kama nngependa raha au kitu kingine Bil 50 ningenunua hata ndege,”
“Ukiniambia Simba ni Biashara kwangu Hapana, Simba ni Hasara kwangu ndiyo, Simba kifedha inanipa hasara, Kuna wafadhili wengi sana ambao wamekuja na wamepita wengi wao wamefilisika Kutokana na kuwekeza au kufadhili Simba
RAIS wa Heshima na Mwekezaji wa Simba, MOHAMMED DEWJI.
Source @futbalplanet_ [emoji1241]
NB acheni kumwingiza hasara Mo
View attachment 2562675
Kuna Level ukishafikia huwezi kufilisika Tena. Hapo ndo alipofikia Mo
Mungu hataki watu wafirisikeAcha kujidanganya Mungu akitaka lake linakuwa
Mwamedi bana, janja janja sana.MO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA, KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE.
“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia"
“Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana ni Bil. 20 lakini tukifanya mahesabu imefika labda Bil. 50 ambazo nimewekeza, kama nngependa raha au kitu kingine Bil 50 ningenunua hata ndege,”
“Ukiniambia Simba ni Biashara kwangu Hapana, Simba ni Hasara kwangu ndiyo, Simba kifedha inanipa hasara, Kuna wafadhili wengi sana ambao wamekuja na wamepita wengi wao wamefilisika Kutokana na kuwekeza au kufadhili Simba
RAIS wa Heshima na Mwekezaji wa Simba, MOHAMMED DEWJI.
Source @futbalplanet_ [emoji1241]
NB acheni kumwingiza hasara Mo
View attachment 2562675
Mwamedi bana, janja janja sana.
HIyo aliongea miaka ya nyuma, ripoti ya mwaka 2023 wamepata faida, ripoti ya mwakani 2024 wanaweza pata hasara
Huyu hapa kaulizwa kuhusu pesa jamaa kawa mkali
Hawana ujanjaNinaamini ipo siku hii ishu ita backfire kwake, wanasimba wanakusanya tu taarifa, siku wakiliamsha basi hatakuwa na jinsi zaidi ya kuwaachie wengine wawekeze au akubaliane na vifungu vya wanasimba, Janja janja hainaga maisha marefu.
Tumetoka mbaliMO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA, KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE.