Mo Dewji usiponipa Majibu ya Kuridhisha juu ya haya Maswali yangu nakuwashia Moto na utaondoka Simba SC Mwenyewe

Mkuu hiyo 49% Huwa inamwingizia mgao, sasa wanachama waendelee kuchsngia watapata return gsni?
 
Mo Dewji naomba haraka sana kujua yafuatayo......

1. Zile Tsh Bilioni 20 za Uwekezaji umeweka Benki gani Tanzania?

2. Simba SC kama Klabu inapata Kiasi gani kutokana na Udhamini wa Brands zako?

3. Kila mwaka unatoa Shilingi ngapi kama Hela ya Usajili Simba SC?

4. Mpaka hivi sasa tokea uwe Mwekezaji Simba SC umepata Faida au Hasara? Na jibu likiwa ni Hasara je, kwanini bado Unangangania kuwepo na huondoki ili uwaachie Matajiri Wengine?

5. Safari ya kuipeleka Pre Season Simba SC nchini Marekani kama ulivyoahidi mwaka Jana iliishia wapi?

6. Kwanini unapenda kuifanya Simba SC kama Mali yako na Kampuni yako ya MeTL?

7. Kwa haya Matokeo mabovu na ya kutia Aibu ya Simba SC huku Yanga SC wakizidi Kufanikiwa wana Simba SC wenye Hasira Kali na tusiotaka Upumbavu Wanaoongoza na Mimi GENTAMYCINE tukiamua ama Kukupiga Bakora Mubashara utuachie Timu au Tukuroge vibaya Simba upaone ni sehemu HATARISHI Kwako au tukiamua Kuiteka Timu na iwe mikononi mwetu na tumkabidhi Mtu ninayemjua ndiyo Tajiri hasa na Namba moja hapa Tanzania Mzee Bakhressa aiendeshe tutakuwa tunakukosea?

Nasubiri majibu yako ila in short GENTAMYCINE niseme tu kuwa Sikukubali na nimegundua Wewe ndiyo kwa 99% unafaidika na Simba SC Kibiashara ila Simba SC inafaidika nawe kwa 1% tu.

Simba SC tunadhalilika kwa ajili yako na Ole wako Msimu huu utusajilie tena Wachezaji wako wa Ki Samjo Samjo ( Uwongo Uwongo ) na wa 10% kwa hao Wajumbe wako wa Body ambao Wote umewakeka Mfukoni mwako kwa Pesa unazowahonga ili Wakulinde.
TAFUTA HELA , TAJIRI HAKARIPIWI.....
 
ila kuna maajuza wengine mnapenda hasa kudhihakiwa na kudhalilishwa. Heading ime addressiwa kwa Mo Dewji, Bi. Nyakomba hata ulikotokea unajitwisha u Mo.
Kuna Mo Dewji humu JF?

Jukwaa la wazi hili, yeyote anajibu kwa muono wake.

Nakushauri pambana na hoja unazozisoma wachana na watu binafsi.
 
Kwa mnao hoji mwatakuwa elezea mishahara, usajili, safari, hostel zinalipwa kwa mapato yapi
 
Wenye akili walishamuelewa tajiri
 
Attachments

  • 20230323_173923.jpg
    20230323_173923.jpg
    213.5 KB · Views: 3
Mo Dewji naomba haraka sana kujua yafuatayo......

1. Zile Tsh Bilioni 20 za Uwekezaji umeweka Benki gani Tanzania?

2. Simba SC kama Klabu inapata Kiasi gani kutokana na Udhamini wa Brands zako?

3. Kila mwaka unatoa Shilingi ngapi kama Hela ya Usajili Simba SC?

4. Mpaka hivi sasa tokea uwe Mwekezaji Simba SC umepata Faida au Hasara? Na jibu likiwa ni Hasara je, kwanini bado Unangangania kuwepo na huondoki ili uwaachie Matajiri Wengine?

5. Safari ya kuipeleka Pre Season Simba SC nchini Marekani kama ulivyoahidi mwaka Jana iliishia wapi?

6. Kwanini unapenda kuifanya Simba SC kama Mali yako na Kampuni yako ya MeTL?

7. Kwa haya Matokeo mabovu na ya kutia Aibu ya Simba SC huku Yanga SC wakizidi Kufanikiwa wana Simba SC wenye Hasira Kali na tusiotaka Upumbavu Wanaoongoza na Mimi GENTAMYCINE tukiamua ama Kukupiga Bakora Mubashara utuachie Timu au Tukuroge vibaya Simba upaone ni sehemu HATARISHI Kwako au tukiamua Kuiteka Timu na iwe mikononi mwetu na tumkabidhi Mtu ninayemjua ndiyo Tajiri hasa na Namba moja hapa Tanzania Mzee Bakhressa aiendeshe tutakuwa tunakukosea?

Nasubiri majibu yako ila in short GENTAMYCINE niseme tu kuwa Sikukubali na nimegundua Wewe ndiyo kwa 99% unafaidika na Simba SC Kibiashara ila Simba SC inafaidika nawe kwa 1% tu.

Simba SC tunadhalilika kwa ajili yako na Ole wako Msimu huu utusajilie tena Wachezaji wako wa Ki Samjo Samjo ( Uwongo Uwongo ) na wa 10% kwa hao Wajumbe wako wa Body ambao Wote umewakeka Mfukoni mwako kwa Pesa unazowahonga ili Wakulinde.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kolo tulia dawa ikuingie, we umepigwa mkwara toka mwanzo we timu kubwa sasa hamaki ni za nini kula nyama acha kelele. Wakati Ahmed Ally anapiga porojo na propaganda si ulikuwa unashoboka tu,
Huu mkwara mbuzi mdosi haogopi kwanza anawasaidia tu.
 
Mo Dewji naomba haraka sana kujua yafuatayo......

1. Zile Tsh Bilioni 20 za Uwekezaji umeweka Benki gani Tanzania?

2. Simba SC kama Klabu inapata Kiasi gani kutokana na Udhamini wa Brands zako?

3. Kila mwaka unatoa Shilingi ngapi kama Hela ya Usajili Simba SC?

4. Mpaka hivi sasa tokea uwe Mwekezaji Simba SC umepata Faida au Hasara? Na jibu likiwa ni Hasara je, kwanini bado Unangangania kuwepo na huondoki ili uwaachie Matajiri Wengine?

5. Safari ya kuipeleka Pre Season Simba SC nchini Marekani kama ulivyoahidi mwaka Jana iliishia wapi?

6. Kwanini unapenda kuifanya Simba SC kama Mali yako na Kampuni yako ya MeTL?

7. Kwa haya Matokeo mabovu na ya kutia Aibu ya Simba SC huku Yanga SC wakizidi Kufanikiwa wana Simba SC wenye Hasira Kali na tusiotaka Upumbavu Wanaoongoza na Mimi GENTAMYCINE tukiamua ama Kukupiga Bakora Mubashara utuachie Timu au Tukuroge vibaya Simba upaone ni sehemu HATARISHI Kwako au tukiamua Kuiteka Timu na iwe mikononi mwetu na tumkabidhi Mtu ninayemjua ndiyo Tajiri hasa na Namba moja hapa Tanzania Mzee Bakhressa aiendeshe tutakuwa tunakukosea?

Nasubiri majibu yako ila in short GENTAMYCINE niseme tu kuwa Sikukubali na nimegundua Wewe ndiyo kwa 99% unafaidika na Simba SC Kibiashara ila Simba SC inafaidika nawe kwa 1% tu.

Simba SC tunadhalilika kwa ajili yako na Ole wako Msimu huu utusajilie tena Wachezaji wako wa Ki Samjo Samjo ( Uwongo Uwongo ) na wa 10% kwa hao Wajumbe wako wa Body ambao Wote umewakeka Mfukoni mwako kwa Pesa unazowahonga ili Wakulinde.
Uamzi wa kumroga naukubali.
 
Ninyi wenye 51 ndo mwapaswa jiuliza hayo maswali mnachangia sent ngap kwa mwaka bora kaka mudi tumeona walau amejitaidi analipa mishahara, posho japo kwa kuchelewa lakini analipa na wachezaji wa mafungu wa sh ten ten atleast tunawaona wakisajiriwa vipi nyinyi wanachama mnauwezo hata wa kusafirisha timu kwenda pre season morogoro kweli?
 
Wewe ht usihangaike na maswali mengi. Wewe weka hapo ht B 10 tu tumtimue Dewji. Achana na hizo Bi 20 ambazo hata ukijiuza mwenyewe na ukoo wako wote huwezi kupata. Jaribu tu ht B 5 tu tusajili wachezaji 5 tu tutakuamini. Vinginevyo funga hilo bakuli lako linalonuka uvundo wa choo cha shimo. Mpuuzi mmoja wewe..
 
Mo Dewji naomba haraka sana kujua yafuatayo......

1. Zile Tsh Bilioni 20 za Uwekezaji umeweka Benki gani Tanzania?

2. Simba SC kama Klabu inapata Kiasi gani kutokana na Udhamini wa Brands zako?

3. Kila mwaka unatoa Shilingi ngapi kama Hela ya Usajili Simba SC?

4. Mpaka hivi sasa tokea uwe Mwekezaji Simba SC umepata Faida au Hasara? Na jibu likiwa ni Hasara je, kwanini bado Unangangania kuwepo na huondoki ili uwaachie Matajiri Wengine?

5. Safari ya kuipeleka Pre Season Simba SC nchini Marekani kama ulivyoahidi mwaka Jana iliishia wapi?

6. Kwanini unapenda kuifanya Simba SC kama Mali yako na Kampuni yako ya MeTL?

7. Kwa haya Matokeo mabovu na ya kutia Aibu ya Simba SC huku Yanga SC wakizidi Kufanikiwa wana Simba SC wenye Hasira Kali na tusiotaka Upumbavu Wanaoongoza na Mimi GENTAMYCINE tukiamua ama Kukupiga Bakora Mubashara utuachie Timu au Tukuroge vibaya Simba upaone ni sehemu HATARISHI Kwako au tukiamua Kuiteka Timu na iwe mikononi mwetu na tumkabidhi Mtu ninayemjua ndiyo Tajiri hasa na Namba moja hapa Tanzania Mzee Bakhressa aiendeshe tutakuwa tunakukosea?

Nasubiri majibu yako ila in short GENTAMYCINE niseme tu kuwa Sikukubali na nimegundua Wewe ndiyo kwa 99% unafaidika na Simba SC Kibiashara ila Simba SC inafaidika nawe kwa 1% tu.

Simba SC tunadhalilika kwa ajili yako na Ole wako Msimu huu utusajilie tena Wachezaji wako wa Ki Samjo Samjo ( Uwongo Uwongo ) na wa 10% kwa hao Wajumbe wako wa Body ambao Wote umewakeka Mfukoni mwako kwa Pesa unazowahonga ili Wakulinde.
Mwambie huyo kanjibai
 
Back
Top Bottom