Mo kajisogeza simba tena baada ya kuona pesa zinakuja

Mo kajisogeza simba tena baada ya kuona pesa zinakuja

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Huyu jamaa ni tapeli Sana baada ya kuona pesa zinakuja anajua kabisa simba ikienda robo fainali atapiga Ile pesa kwa 49%

Huyu jamaa ukitaka kujua ni tapeli mwangalie timu ikianza kushinda mechi zake anakuwa active kwenye mitandao ikichapwa anasepa.

Sasahivi anapigia mahesabu pesa ya simba kwenda robo fainali.

Mbumbumbu fc wanamshangilia!! Duh.!
 
_ (15).jpg
 
Kwa hiyo kina Chama, Banda, Kapombe unawalipa wewe alafu wakishinda ndio Mo anajitokeza.

Basi ni wazi huyu Tapeli anakudhulumu, alitakiwa akuachie Timu kama alivyokuachia ukiipambania wakati wa shida.
 
Ukweli mchungu huu. Mbumbumbu hawawezi kukuelewa zaidi tu watakurushia matusi.
Ila ndio hivyo acha Hawa wajinga wapigwe tu hakuna namna[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumbe unajua kuwa Simba inauwezo wa kushinda mpaka robo na kupata pesa, anyways:

Kwani Simba ikishinda unadhani mashabiki wana tabu basi. Hata Mo akila zote ni sawa tu, tatizo ni iwapo haishindi.
 
SKw hiyo kina Chama, Banda, Kapombe unawalipa wewe alafu wakishinda ndio Mo anajitokeza.

Basi ni wazi huyu Tapeli anakudhulumu, alitakiwa akuachie Timu kama alivyokuachia ukiipambania wakati wa shida.
Huna akili wewe mbu mbu mbu. Simba ni taasisi inayojiendesha sio ya Mo. Unapohoji mishahara ya wachezaji zungumzia simba kama taasisi.
Mnadhani kila kitu anafanya huyo tajiri wenu wa mchongo. Ni kweli kajisogeza.
 
Kwani Simba ikishinda unadhani mashabiki wana tabu basi. Hata Mo akila zote ni sawa tu, tatizo ni iwapo haishindi.
Na hii ndo furaha ya mashabiki, wala sio billions of money. Issue ni furaha tu kwetu.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kuipeleka timu Dubai ni zaidi ya 500mil.
Kwa hiyo sikubaliani na hoja.
Hiyo milioni 500 itakuwa ni ile ya Zimbabwe, enzi za Marehemu Robert Mugabe bila shaka.

Na kama ni hii ya kwetu, basi ni bora ingetumika tu kufanyia usajili wa maana, wakati huu wa dirisha dogo.
 
Back
Top Bottom