Mo kajisogeza simba tena baada ya kuona pesa zinakuja

Mo kajisogeza simba tena baada ya kuona pesa zinakuja

MO Ana hela za kutosha yuko pale kwa mapenzi ya simba tu kuwekeza kwenye timu kunahitaji hela nyingi sio maskini kama unavyomchukulia
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hiyo milioni 500 itakuwa ni ile ya Zimbabwe, enzi za Marehemu Robert Mugabe bila shaka.

Na kama ni hii ya kwetu, basi ni bora ingetumika tu kufanyia usajili wa maana, wakati huu wa dirisha dogo.
Yaani wewe uishauri Simba.Kapanue mashamba ya pears huko Lushoto.Wewe ujue priorities za Simba kuliko Simba wenyewe?Maajabu.
 
Ajabu wanaohangaika na Simba na kuipangia bajeti ni wapenzi wa Utopolo huku wapenzi wa Simba wakiwa kimyaa.Ni dalili mojawapo ya inferiority complex. Kujiona hufai na kuzungumzia vya wenzako.
 
Back
Top Bottom