technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Huna akili wewe mbu mbu mbu. Simba ni taasisi inayojiendesha sio ya Mo. Unapohoji mishahara ya wachezaji zungumzia simba kama taasisi.SKw hiyo kina Chama, Banda, Kapombe unawalipa wewe alafu wakishinda ndio Mo anajitokeza.
Basi ni wazi huyu Tapeli anakudhulumu, alitakiwa akuachie Timu kama alivyokuachia ukiipambania wakati wa shida.
Nakubali kweli Yanga wapuuzi wengi sanaHuyu jamaa ni tapeli Sana baada ya kuona pesa zinakakuja anajua kabisa simba ikienda robo fainali atapiga Ile pesa kwa 49%...
Na hii ndo furaha ya mashabiki, wala sio billions of money. Issue ni furaha tu kwetu.Kwani Simba ikishinda unadhani mashabiki wana tabu basi. Hata Mo akila zote ni sawa tu, tatizo ni iwapo haishindi.
Kuipeleka anajua inawezekana kukawa na missions zingine hukoKuipeleka timu Dubai ni zaidi ya 500mil.
Kwa hiyo sikubaliani na hoja.
Hiyo milioni 500 itakuwa ni ile ya Zimbabwe, enzi za Marehemu Robert Mugabe bila shaka.Kuipeleka timu Dubai ni zaidi ya 500mil.
Kwa hiyo sikubaliani na hoja.