Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Jan 12, 2023 #41 Kanjibai nyoka lenye magengeza msaka pesa
M mhkk JF-Expert Member Joined May 29, 2021 Posts 218 Reaction score 342 Jan 12, 2023 #42 MO Ana hela za kutosha yuko pale kwa mapenzi ya simba tu kuwekeza kwenye timu kunahitaji hela nyingi sio maskini kama unavyomchukulia
MO Ana hela za kutosha yuko pale kwa mapenzi ya simba tu kuwekeza kwenye timu kunahitaji hela nyingi sio maskini kama unavyomchukulia
T Tui JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 4,698 Reaction score 6,670 Jan 12, 2023 #43 Tate Mkuu said: Hiyo milioni 500 itakuwa ni ile ya Zimbabwe, enzi za Marehemu Robert Mugabe bila shaka. Na kama ni hii ya kwetu, basi ni bora ingetumika tu kufanyia usajili wa maana, wakati huu wa dirisha dogo. Click to expand... Yaani wewe uishauri Simba.Kapanue mashamba ya pears huko Lushoto.Wewe ujue priorities za Simba kuliko Simba wenyewe?Maajabu.
Tate Mkuu said: Hiyo milioni 500 itakuwa ni ile ya Zimbabwe, enzi za Marehemu Robert Mugabe bila shaka. Na kama ni hii ya kwetu, basi ni bora ingetumika tu kufanyia usajili wa maana, wakati huu wa dirisha dogo. Click to expand... Yaani wewe uishauri Simba.Kapanue mashamba ya pears huko Lushoto.Wewe ujue priorities za Simba kuliko Simba wenyewe?Maajabu.
T Tui JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 4,698 Reaction score 6,670 Jan 12, 2023 #44 Ajabu wanaohangaika na Simba na kuipangia bajeti ni wapenzi wa Utopolo huku wapenzi wa Simba wakiwa kimyaa.Ni dalili mojawapo ya inferiority complex. Kujiona hufai na kuzungumzia vya wenzako.
Ajabu wanaohangaika na Simba na kuipangia bajeti ni wapenzi wa Utopolo huku wapenzi wa Simba wakiwa kimyaa.Ni dalili mojawapo ya inferiority complex. Kujiona hufai na kuzungumzia vya wenzako.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Jan 12, 2023 #45 Palzuria Le Padre said: We mlamba mavi fc, mnahangaika nini na simba ? Hivi nyie si mtakua mnaiwaza sana simba kuliko mapumbu yenu yanayonuka? Click to expand... Duh!ππππ
Palzuria Le Padre said: We mlamba mavi fc, mnahangaika nini na simba ? Hivi nyie si mtakua mnaiwaza sana simba kuliko mapumbu yenu yanayonuka? Click to expand... Duh!ππππ