Mo & METL out, tuachie Simba yetu

Sasa kama huelewi uwekezaji wa Mo upoje ndani ya Simba, huna uhalali wa kuhoji uelewa wako kuhusu hili ni mdogo,Ndo maana nikasema hujui lolote umekurupuka,
We unayeleewa ebu elezea uwekezaji wa mo simba jinsi ulivyo
 
Njaa zetu ndio chanzo cha matatizo plus ujinga. Ila kiukweli umiliki na uwekezaji wa simba ni jambo lisiloeleweka kabisaa
 
Manji aliondoka yanga, yanga si bado ipo, na imeimarika mara kumi zaidi, wapo very professional, aggressive na sitoshangaa kuwaona ndani ya miaka 5-10 wakiwa level moja na akina mamelody, alhly, tp mazembe nk
 
Njaa zetu ndio chanzo cha matatizo plus ujinga. Ila kiukweli umiliki na uwekezaji wa simba ni jambo lisiloeleweka kabisaa
Ahsante... Mzee kilomoni alikuwa anaona mbali sana, inabidi tukamuombe msamaha
 
Aondoke ili baba yako aje awekeze?
Pesa sio matako ya kuwa kila mtu anayo.
Nimeangalia umejiunga jamii forum 2022 kwa hiyo siwezi kukulaumu
Ila naomba nikuulize swali
Katika zile ahadi alizo ziweka ni zipi amezitekeleza?
1.uwanja
2.hostel
3.modern gym na facilities nyingine za mazoezi
4.academy
5.timu za vijana zilizo imara
Nk
Ni lipi aliliolitekeleza?
Na je unaelewa vizuri kuhusu structure nzima ya uwekezaji wa mo simba
? Au una ropoka tu
Una uhakika gani kwamba mo akiondoka hatopatikana muwekezaji mwingine?
Manji aliondoka yanga,je yanga ilikufa?
 
Mlijificha kwenye dhuluma ya Gori la Azizi🤣🤣🤣 Sasa naona akili zimewarudi mmeanza kuharisha upuuzi wenu wa kila siku.
 
Wakati mwingine ni vizuri kutoa maoni lakini embu tujiulize simba kabla ya MO unayesema atoke walikua hatua gani kipindi simba inapitia kipindi kigumu nani aliyejitokeza kuwekeza hela zake

Si ilifikia kipindi mpaka wachezaji sometimes wakawa wanagoma kisa hawalipwi stahiki zao hivi mnafikiri kuendesha timu ni kazi rahisi eeh?? Mafanikio ya robo fainali yamesababishwa na nani??? Kama sio MO kwanini hao wawekezaji hawakujitokeza kipindi kile

Ni sawasawa na saivi watu wa yanga waanze kupigia kelele GSM wakati manji alipoondoka kila mtu. Anakumbuka msoto waliopitia

Unamlaumu MO Kwa lipi hapo kikubwa viongozi try again na wengine ndo wanatakiwa kuachia ngazi kwa kufanya maamuzi ya hovyo kama kuwaleta koublan,kumleta manzoki kwa ajili ya uchaguzi etc

Ila MO Sioni kama ana kosa kwasababu ye sio skauti ni mwekezaji anayetoa pesa sasa kama pesa zimetolewa halafu wanaletwa wachezaji wa hovyo unamlaumu vipi MO badala ya kamati inayohusika na usajili
 
Manji aliondoka yanga, yanga si bado ipo, na imeimarika mara kumi zaidi, wapo very professional, aggressive na sitoshangaa kuwaona ndani ya miaka 5-10 wakiwa level moja na akina mamelody, alhly, tp mazembe nk
Baada ya manji kuondoka unakumbuka kilichowakuta kwa misimu minne mfululizo? Shida sio kutoka tuu lakini mbadala wake tayali yupo? sio anaondoka timu inaenda kutembeza bakuli, kufika level ya Al Ahly na Mamelodi sio rahisi kama ulivyo andika hapa yani ndani ya miaka 5-10 yanga iweze kumsajili mchezaji wa b 3-6 si masikhara hayo unaleta
 
Mmesahau kipindi kile mnalia kama ng'ombe zinazopelekwa kuchinjwa Moooooooooo. ,,mkitaka atoke rudisheni pesa yake, nyie mmeshanunuliwa hapo badi wajukuu watamiliki
 
Lweli tenda wema hiende zako leo hiii leo hii ndio mnamlipa mo hivi kweli..
 
Kwani Simba imeshaanza kuendeshwa kwa mfumo wa uwekezaji? Unaweza ukajidai mjuaji kumbe unakurupuka na kichwani huelewi lolote (hakuna kitu)
 
Kuwa na pesa kingekuwa kitu rahisi basi baba yako angekuwa nazo na yeye sasa hivi ndo angekuwa muwekezaji hapo Simba.
 

Hivi unajua sera ya michezo ya Taifa inasemaje kuhusu michezo.Usije kuwaza kuwa Siku moja hizi timu zitakabidhiwa kwa mwekezaji sahau hiyo kitu.Haya yote yanafanyika ni danganya toto tu bado sera yetu inasema michezo ni burudani.
 
Muondoke na muiache timu kwa Chief Mangungu😁
 
Huyo hatoki mpaka simba ishuke daraja.

Wasio na akili watanishambulia
 

Acha ushabiki maandazi wewe. Mo kawafanya muone kuingia robo ni kazi rahisi, sasa mwaanza kuvimbiwa. Mashabiki academia mnaharibu sana utulivu wa club.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…