Je tumepata uwekezaji bora?
Je tumepata uongozi bora?
Jibu HAPANA
Kwa nini
1.aina ya uwekezaji uliokuwa unahubiriwa hauna tija kwa upande timu,un tija upande wa muwekezaji tu, lwa sababu kwa uhakisia mo na kampuni yao hawajawekeza chochote simba, walichofanya ni kununua bond za 20billion, faida inayoptaikana ndio wanaileta simba..ina maana siku wakivurugana na simba, wanachukua 20billion yao
2.hamna ushindani kwani muwekezaji ni mmoja tu
3. Muwelezaji ndie aliyekuwa anaendesha mchakato mzima wa mabadiliko,kwa hiyo simba sport club ikakosa nguvu kimaamuzi,ndio maana mwenyekiti mkwabi alijiuzulu
4. Hatuna namna ya kumbana muwekezaji,ukiangalia mambo aliyoyaahidi hajtekeleza hata moja
Aliahidi
1.uwanja,
2. Academy
3.modern equipements kama gym,nk
4.modern hostel za wachezaji
5. Na mengine mengi
Hajatekeleza hata moja, labda tu ni kuuta ule uwanja wa uongo na kweli mo sport arena,na kiwazawadia wachezaji pikipiki za boxer, what