Mo ni kilaza wa mpira, amefanya maamuzi ya kijinga sana kumleta mzungu

Mo ni kilaza wa mpira, amefanya maamuzi ya kijinga sana kumleta mzungu

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
6,236
Reaction score
15,677
Ukiangalia hii Simba iliyocheza leo, hii mechi kwa kamanda Mgunda ilikuwa ni big (W).

Unajua yule Mo amefanya lobbying kubwa sana kumuondoa Mgunda na kumleta hiyo mzee Brazil.

Mwaka jana mwezi wa 12, Mo alipost hii tweet kule Twitter

Screenshot_20230211-230240_Twitter.jpg

Baada ya kuona hii tweet na kuangalia Simba ilivokuwa ina improve, nikajua huyu jamaa ni kilaza wa mpira.

Kwa maamuzi kama haya ya hovyo na kukurupuka, kuna saa unajiuliza, huyu jamaa isingekuwa baba ake, angakuwa choka mbaya tu kama wale wahindi wenzake wa upanga.
 
Ukiangalia hii Simba iliyocheza leo, hii mechi kwa kamanda Mgunda ilikuwa ni big (W)...
Kwani yule mshambuliaji hatari Wanzuki kutoka china aliyesajiliwa kusimamia uchaguzi wa mgombea alikuwa bado ana hakiki kura za mgombea? Maana sikumuona akifanyiwa sub kuingia kuchukua nafasi ya boko🤣🤣🤣
 
Kwani Mgunda alikuwa hafungwi? hakuwa akitoa suluhu? sioni sababu ya kulaumu maamuzi ya mashabiki ambayo MO alikuwa kama mtekelezaji wake tu.
 
Wanathiiiimbaaaa!!

Haya sasa masimango yameanza!!!
Msimangeni hadi aeleze na zile b20 alizipeleka wapi.
 
Ukiangalia hii Simba iliyocheza leo, hii mechi kwa kamanda Mgunda ilikuwa ni big (W).

Unajua yule Mo amefanya lobbying kubwa sana kumuondoa Mgunda na kumleta hiyo mzee Brazil.

Mwaka jana mwezi wa 12, Mo alipost hii tweet kule Twitter

View attachment 2514139

Baada ya kuona hii tweet na kuangalia Simba ilivokuwa ina improve, nikajua huyu jamaa ni kilaza wa mpira.

Kwa maamuzi kama haya ya hovyo na kukurupuka, kuna saa unajiuliza, huyu jamaa isingekuwa baba ake, angakuwa choka mbaya tu kama wale wahindi wenzake wa upanga.
Emotionally naweza kukuelewa sababu simba amefungwa, so umeumia. Lakini Logically napata mashaka sana na uelewa wako katika mpira.

Kabla sijaeleza kile nilichokiona, Kocha Robertinho unam-hukumu kwa lipi?

1. Je, approach yake kuelekea mechi ya Jana?
2. Mbinu na mfumo aliotumia kucheza mechi ya Jana?
3. Viwango vya wachezaji vime-drop?
4. Substitutions alizofanya?
5.Au sababu tu, score board ni Horoya 1-0 Simba?

Personally, Naona kocha ndani ya Robertinho.

1. Perfect First Eleven + Formation.
I think kila mtu ameona nature ya wachezaji, mfumo na nature ya Viungo wa Horoya. First Half ilikua inamuhitaji Sawadogo kuliko Chama(Najua hapa nitatukanwa) ila huo ndio ukweli. So kuja na Viungo wenye asili ya Ukabaji watatu ni Perfect selection(Mzamiru. Kanoute, Sawadogo for aerial na kashikashi).

2. Sub ya Bocco for aerial balls ilifanya kazi kabisa. Umakini wake ni changamoto. Sub ya Phiri na Kibu, Kibu alikua bora sana, hii ilimfanya Chama acheze 10 na sio Wide tena. I think kila mtu aliona, vijana wa mjini wanasema Horoya alikua anapelekewa moto.

Nakusikiliza na wewe pia.
 
Simba inabidi msimu ujao iondoe wachezaji wafuatao

Bocco
Banda
Okra
Akpan
Kibu
Mkude
Nyoni
Kenedi
Mwinuka
Mwenda

Wafuatao wafikiriwe

MHussein
Onyango
Outtara
Manura
Shomari
Sawadogo
Chama
 
Back
Top Bottom