Mo ni kilaza wa mpira, amefanya maamuzi ya kijinga sana kumleta mzungu

Mo ni kilaza wa mpira, amefanya maamuzi ya kijinga sana kumleta mzungu

Emotionally naweza kukuelewa sababu simba amefungwa, so umeumia. Lakini Logically napata mashaka sana na uelewa wako katika mpira.

Kabla sijaeleza kile nilichokiona, Kocha Robertinho unam-hukumu kwa lipi?

1. Je, approach yake kuelekea mechi ya Jana?
2. Mbinu na mfumo aliotumia kucheza mechi ya Jana?
3. Viwango vya wachezaji vime-drop?
4. Substitutions alizofanya?
5.Au sababu tu, score board ni Horoya 1-0 Simba?

Personally, Naona kocha ndani ya Robertinho.

1. Perfect First Eleven + Formation.
I think kila mtu ameona nature ya wachezaji, mfumo na nature ya Viungo wa Horoya. First Half ilikua inamuhitaji Sawadogo kuliko Chama(Najua hapa nitatukanwa) ila huo ndio ukweli. So kuja na Viungo wenye asili ya Ukabaji watatu ni Perfect selection(Mzamiru. Kanoute, Sawadogo for aerial na kashikashi).

2. Sub ya Bocco for aerial balls ilifanya kazi kabisa. Umakini wake ni changamoto. Sub ya Phiri na Kibu, Kibu alikua bora sana, hii ilimfanya Chama acheze 10 na sio Wide tena. I think kila mtu aliona, vijana wa mjini wanasema Horoya alikua anapelekewa moto.

Nakusikiliza na wewe pia.
Kwahiyo mkuu unaona kwamba kocha Robertino hastahili kuhukumiwa kwa chochote..?

Ninachomaanisha hapa ni kwamba timu ilikuwa kwenye form nzuri na kitendo cha kubadili kocha maana yake kumeharibu mambo mengi ya kiufundi.

Na aliyeanzisha hizi mambo za kubadili kocha ni kabachori wa mchongo
 
Back
Top Bottom