Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Tunazungumzia ile boli alikuwa anaipiga Mgunda ukifananisha na huyu mzunguKocha Yuko sawa.
Jamani YANGA WAMESAJILI ,WAMESAJILI, WAMEMWAGA HELA.
SIMBA HATA AJE , KOCHA WA MAN CITY ,HAINA MAAJABU.
Tapeli kabisaKabla ya yote atueleze alipoiweka Ile bil 20 ya udhamini..
Huyu Mudi ni tapeli tu wa mjini, Wana Simba wenzangu hii timu tumrudishie Mzee kilomoni
Acha ushabiki maandazi. Ulitaka timu isifungwe kabisa? Goli moja unapiga kelele namna hii. Wewe ni shabiki academia bila shaka. Jifunze kwa wenzako wa man united and the likes.Ukiangalia hii Simba iliyocheza leo, hii mechi kwa kamanda Mgunda ilikuwa ni big (W)...
Kwani yule mshambuliaji hatari Wanzuki kutoka china aliyesajiliwa kusimamia uchaguzi wa mgombea alikuwa bado ana hakiki kura za mgombea? Maana sikumuona akifanyiwa sub kuingia kuchukua nafasi ya boko🤣🤣🤣Ukiangalia hii Simba iliyocheza leo, hii mechi kwa kamanda Mgunda ilikuwa ni big (W)...
Wewe kwa mpira tuliocheza jana umeona tuna forwadi pale??Ila mashabiki wa Tanzania tuna siti yetu mbinguni maana timu isifungwe ikifungwa mashabiki wanaanza kelele.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Emotionally naweza kukuelewa sababu simba amefungwa, so umeumia. Lakini Logically napata mashaka sana na uelewa wako katika mpira.Ukiangalia hii Simba iliyocheza leo, hii mechi kwa kamanda Mgunda ilikuwa ni big (W).
Unajua yule Mo amefanya lobbying kubwa sana kumuondoa Mgunda na kumleta hiyo mzee Brazil.
Mwaka jana mwezi wa 12, Mo alipost hii tweet kule Twitter
View attachment 2514139
Baada ya kuona hii tweet na kuangalia Simba ilivokuwa ina improve, nikajua huyu jamaa ni kilaza wa mpira.
Kwa maamuzi kama haya ya hovyo na kukurupuka, kuna saa unajiuliza, huyu jamaa isingekuwa baba ake, angakuwa choka mbaya tu kama wale wahindi wenzake wa upanga.