Abeltrainer
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 245
- 473
Sawasawa.Wakati mipengo inaendelea,ichukue timu kwa muda wa wiki mbili.Ni muda sahihi wa kuwatumia hawa wahindi,kwani, hamna lolote wanalolifanya simba,isipokuwa kutupa presha tu
Hahaaaaa sawa sawaSawasawa.Wakati mipengo inaendelea,ichukue timu kwa muda wa wiki mbili.
Inabidi tuanze kampeni ya kuwaondoa hawa wahindi,tutakufa preshaSawasawa.Wakati mipengo inaendelea,ichukue timu kwa muda wa wiki mbili.
Sahihi.Nioneshe plan B ya kuiendesha timu ili niache kujikuna kitambi kivivu.Inabidi tuanze kampeni ya kuwaondoa hawa wahindi,tutakufa presha
Nyuzi kama 12Tujiandae, hii wiki tutasikia mengi.
Wenzetu wakifungwa tu wanatafutana uchawi, sisi huwa tunashikamana kama team... I love Yanga.
Mkuu, angalia walivyotufunga 2 mechi ya mwisho mwa ligi, hatukulaumiana.Nyuzi kama 12
Mara tinho afukuzwe
Manula kauza match
Mo atuachie team yetu
Chama anacheza kifaza
Saido amechoka
Mangungu anatuuza
Jamaa hawa huwa hawakubali kuzidiwa
Na hilo ndo tatizo lao kubwa, propaganda.Nyuzi kama 12
Mara tinho afukuzwe
Manula kauza match
Mo atuachie team yetu
Chama anacheza kifaza
Saido amechoka
Mangungu anatuuza
Jamaa hawa huwa hawakubali kuzidiwa
Acha Uongo na wewe. Lawama huwa mnapeleka TFF.Mkuu, angalia walivyotufunga 2 mechi ya mwisho mwa ligi, hatukulaumiana.
Funga kazi ile fainali tuliyopoteza kwa kanuni, tulishikamana tukakubali kupoteza, hakuna aliyemlaumu yeyote.
Naipenda sana hii spirit yetu Yanga.
Na wewe anza kutoa hudumaInabidi tuanze kampeni ya kuwaondoa hawa wahindi,tutakufa presha
Hamna loloteMkuu, angalia walivyotufunga 2 mechi ya mwisho mwa ligi, hatukulaumiana.
Funga kazi ile fainali tuliyopoteza kwa kanuni, tulishikamana tukakubali kupoteza, hakuna aliyemlaumu yeyote.
Naipenda sana hii spirit yetu Yanga.