Abeltrainer
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 245
- 473
Ni muda sahihi wa kuwatimua hawa wahindi,kwani, hamna lolote wanalolifanya simba,isipokuwa kutupa presha tu.
Kama hawa wahindi wataendelea kung'ang'ania Simba yetu, basi tuhesabu maumivu. Tatizo la simba ni mo na kampuni ya baba yake na sio.kitu kingine,hawa wakiondoka,waje wawekezaji ambao wapo serious na mpira basi tutafika mbali.
Hii Simba ilikuwa inaonekna ni gari bovu tangu siku nyingi, haya matokeo ya leo hayajaja kwa bahati mbaya, na ninaomba mungu tupigwe zaidi ili hawa waindi waiachie timu, ichukuliwe na wafanyabiashara ambao wapo serious.