Mo pamoja na METL out, tutafute wawekezaji ambao wapi serious na biashara

Mo pamoja na METL out, tutafute wawekezaji ambao wapi serious na biashara

Abeltrainer

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
245
Reaction score
473
Ni muda sahihi wa kuwatimua hawa wahindi,kwani, hamna lolote wanalolifanya simba,isipokuwa kutupa presha tu.

Kama hawa wahindi wataendelea kung'ang'ania Simba yetu, basi tuhesabu maumivu. Tatizo la simba ni mo na kampuni ya baba yake na sio.kitu kingine,hawa wakiondoka,waje wawekezaji ambao wapo serious na mpira basi tutafika mbali.

Hii Simba ilikuwa inaonekna ni gari bovu tangu siku nyingi, haya matokeo ya leo hayajaja kwa bahati mbaya, na ninaomba mungu tupigwe zaidi ili hawa waindi waiachie timu, ichukuliwe na wafanyabiashara ambao wapo serious.
 
Nyuzi kama 12
Mara tinho afukuzwe
Manula kauza match
Mo atuachie team yetu
Chama anacheza kifaza
Saido amechoka
Mangungu anatuuza

Jamaa hawa huwa hawakubali kuzidiwa
Mkuu, angalia walivyotufunga 2 mechi ya mwisho mwa ligi, hatukulaumiana.
Funga kazi ile fainali tuliyopoteza kwa kanuni, tulishikamana tukakubali kupoteza, hakuna aliyemlaumu yeyote.
Naipenda sana hii spirit yetu Yanga.
 
Nyuzi kama 12
Mara tinho afukuzwe
Manula kauza match
Mo atuachie team yetu
Chama anacheza kifaza
Saido amechoka
Mangungu anatuuza

Jamaa hawa huwa hawakubali kuzidiwa
Na hilo ndo tatizo lao kubwa, propaganda.

Yanga tulipigwa na ihefu lakini huwezi kuona mashabiki wanataka Gamondi aondoke, sijui fulani anatuhujumu etc.

Yote hiyo haw jamaa wanakwepa kusema timu lao bovu
 
Mkuu, angalia walivyotufunga 2 mechi ya mwisho mwa ligi, hatukulaumiana.
Funga kazi ile fainali tuliyopoteza kwa kanuni, tulishikamana tukakubali kupoteza, hakuna aliyemlaumu yeyote.
Naipenda sana hii spirit yetu Yanga.
Acha Uongo na wewe. Lawama huwa mnapeleka TFF.
 
Wahindi hamna kitu kabisa, wanaleta wachezaji wa league 2 ,
 
Uwekezaji wa mo,pamoja na kampuni ya baba yake simba hauna tija,simba yetu ni kubwa sana kuliko hao kina kanjibai

Huu ni mwaka karibia wa 10,uwanja upo wapi? academy ipo wapi ?
Timu hata makao makuu haina,
Hata jersey tu wameshindwa kuzicontrol
We ulishaona wapi timu ina raisi wa heshima
Tunasema

KNJIBAI OUT,wawekezaji wapo,simba ni kubwa sana,tunarudishwa nyuma na kanjibai
 
Mkuu, angalia walivyotufunga 2 mechi ya mwisho mwa ligi, hatukulaumiana.
Funga kazi ile fainali tuliyopoteza kwa kanuni, tulishikamana tukakubali kupoteza, hakuna aliyemlaumu yeyote.
Naipenda sana hii spirit yetu Yanga.
Hamna lolote
 
Back
Top Bottom