Mo Salah: Mchezaji bora anayepoteza muda wake Liverpool

Kwani walikuwa hawamuoni toka mwanzo
 
sio kweli , sadio mane anatoa mchango mkubwa Sana kwa hiyo kusema Ni yy mwenyewe sio sahihi/kweli
 
Reactions: SDG
Si mtaalamu wa soka mimi, lakini nadhani Klopp na Liverpool ndiyo waliompa fursa Salah ya kun'gara kama ilivyo. Abaki hapo hata kwa msimu mwingine. Kama mnakumbuka ya Simon Msuva amekuwa tofauti tangu aende Algeria. Huko alituambia, alipokuja nchini majuzi, kuwa kocha alimbadili nafasi ya kucheza kwa kumtoa pembeni na kumweka katikati, ghafla akawa star wa timu. Hivyo ni bora Salah abaki hata kwa msimu mmoja tu Liverpool.
 
kucheza wapi ndio kutokupoteza muda?hapo hapo panamfaaa unataka aende timu gani sasa katika dunia hii
 


Salah angebaki tu maana naona mfumo wa uchezeshaji wa Klopp ndio unambeba sana, alichonacho sana sana ni u''sharp" wa kutumia vizuri zaidi chance za magoli otherwise kingine ni kuwa Salah hana uwezo wa kumiliki mpira hii inaweza kumfanya asiwe bora kiushindani wa namba kama akihama timu halafu mfumo ukamkataa
 

Man City ni timu ya kushinda FA, EPL na Carabao
Mo Salah ni mchezaji wa kuwania UCL
 
ajidanganye aondoke Liverpool aone kama haja-kotinywa!!
 
Never give up!
Wachezaji unaowabeza wamemfunga Barca goli 4/0 bila Salah.
Wachezaji haohao wameisaidia Kops kubeba champions league Europe.
Football Ni zaidi ya ndoto.
Umemuona Orig? Umemuona Manne?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…