Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio kweli , sadio mane anatoa mchango mkubwa Sana kwa hiyo kusema Ni yy mwenyewe sio sahihi/kweliHaiwezekani kila siku yeye ndio anayeibeba timu huku wenzake wakimuangusha, nafikiri baada ya msimu huu aombe kuuzwa naamini Man City ndio sehemu sahihi kwake, vinginevyo pale Liverpool ataishia kupigiwa makofi na scouser huku mataji akiyasiki jirani.
Si mtaalamu wa soka mimi, lakini nadhani Klopp na Liverpool ndiyo waliompa fursa Salah ya kun'gara kama ilivyo. Abaki hapo hata kwa msimu mwingine. Kama mnakumbuka ya Simon Msuva amekuwa tofauti tangu aende Algeria. Huko alituambia, alipokuja nchini majuzi, kuwa kocha alimbadili nafasi ya kucheza kwa kumtoa pembeni na kumweka katikati, ghafla akawa star wa timu. Hivyo ni bora Salah abaki hata kwa msimu mmoja tu Liverpool.Ningekuwa nimepata nafasi ya kumshauri Mohamed Salah ningemshauri abaki Liverpool kama shukrani sababu ni kama timu pekee iliyomthamini katika timu kubwa duniani maana Hata Roma nao walimwachia aende Fiorentina.
Kuhusu mshahara nadhani Klopp sio muda atampandishia maana kuna wave ya kupanda mishahara pale EPL. Isitoshe ndio kinara wa timu kipindi hiki pale Liverpool, hio itawapa Pressure wamuongezee mshahara.
Huo ndo ukweli umeongea kitu cha maana sana! Asije akafanya ujinga wa yule jamaa alikuwa Arsenal anaitwa Alex Song jamaa alikuwa anapata namba vizuri mzee wenger alikuwa anamkubali sana akajifanya anajua zaidi kwenda Barca nafikiri alichokitafuta alikipata tayari
Man citykucheza wapi ndio kutokupoteza muda?hapo hapo panamfaaa unataka aende timu gani sasa katika dunia hii
Mwezi wa sita bado mkuu???Mwezi wa sita atatua Real Madrid
Haiwezekani kila siku yeye ndio anayeibeba timu huku wenzake wakimuangusha, nafikiri baada ya msimu huu aombe kuuzwa naamini Man City ndio sehemu sahihi kwake, vinginevyo pale Liverpool ataishia kupigiwa makofi na scouser huku mataji akiyasiki jirani.
ajidanganye aondoke Liverpool aone kama haja-kotinywa!!Haiwezekani kila siku yeye ndio anayeibeba timu huku wenzake wakimuangusha, nafikiri baada ya msimu huu aombe kuuzwa naamini Man City ndio sehemu sahihi kwake, vinginevyo pale Liverpool ataishia kupigiwa makofi na scouser huku mataji akiyasiki jirani.
Never give up!Ningekuwa nimepata nafasi ya kumshauri Mohamed Salah ningemshauri abaki Liverpool kama shukrani sababu ni kama timu pekee iliyomthamini katika timu kubwa duniani maana Hata Roma nao walimwachia aende Fiorentina.
Kuhusu mshahara nadhani Klopp sio muda atampandishia maana kuna wave ya kupanda mishahara pale EPL. Isitoshe ndio kinara wa timu kipindi hiki pale Liverpool, hio itawapa Pressure wamuongezee mshahara.