PostGE2025 Mo29; Ole wake atakayeandamana. D9; Nimetumwa na Rais niwaombe msiandamane. Kwa kinyonge sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Siyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee.

Mwigulu: Rais anawashauri wananchi muitumie tarehe 9 desemba 2025 kwa mapumziko hivyo kushereheka siku hiyo mkiwa nyumbani.

Simbachawene: Nimemuagiza IGP Wambura, kuhakikisha ukamataji wa Watu unafuata taratibu za kisheria na amepiga marufuku Polisi kuwakamata Watu kibabe wakiwa wamevaa kininja, wakiwa bila sare na silaha kubwa.

Msigwa: Kufanya maandamano kesho ni kuvunja sheria.

Tunasubiri kauli za Wambura na Muliro ili nazo ziwe documented.
 
Endapo washika hatamu wa nchi hii watabadalika, mtu wa kwanza kabisa anaepaswa kupumzishwa majukumu ni Gerson Msigwa.

By far, katika historia ya wasemaji wa serikali, huyu jamaa ndio kinara wa ukilaza, unprofessionalism, kiburi, majivuno na ujuha.

Nani sijui alimdanganya kuwa akikunja sura yako na kutoa mijicho yake huku akiongea kizungu asichoweza kukitamka ndio anakuwa professional.
 
By far, katika historia ya wasemaji wa serikali, huu jamaa ndio kinara wa ukilaza, unprofessionalism, kiburi, majivuno na ujuha.

Nani sijui alimdanganya kuwa akikunja sura yako na kutoa mijicho yake huku akiongea kizungu asichoweza kukitamka ndio anakuwa professional.
Wewe ndio huijui CCM, watu kama hao ndio wanapendwa na ccm ndio maana ana vyeo viwili.
 
Wewe ndio huijui CCM, watu kama hao ndio wanapendwa na ccm ndio maana ana vyeo viwili.
Endapo washika hatamu wa nchi hii watabadalika, mtu wa kwanza kabisa anaepaswa kupumzishwa majukumu ni Gerson Msigwa.

Dhana yangu ilijumuisha kutokuwepo kwa CCM kwenye hatamu. For as long as CCM ipo madarakani, wapumbavu kama Msigwa wataendelea kuwepo tu.
 
Siyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee.

Mwigulu: Rais anawashauri wananchi muitumie tarehe 9 desemba 2025 kwa mapumziko hivyo kushereheka siku hiyo mkiwa nyumbani.

Simbachawene: Nimemuagiza IGP Wambura, kuhakikisha ukamataji wa Watu unafuata taratibu za kisheria na amepiga marufuku Polisi kuwakamata Watu kibabe wakiwa wamevaa kininja, wakiwa bila sare na silaha kubwa.

Msigwa: Kufanya maandamano kesho ni kuvunja sheria.

Tunasubiri kauli za Wambura na Muliro ili nazo ziwe documented.
😀😀😀
IMG-20251208-WA0044.jpg
 
uzuri uku tunaongea mara 1 tu baada ya hapo vilio vitatoa feedback
 
Endapo washika hatamu wa nchi hii watabadalika, mtu wa kwanza kabisa anaepaswa kupumzishwa majukumu ni Gerson Msigwa.

Dhana yangu ilijumuisha kutokuwepo kwa CCM kwenye hatamu. For as long as CCM ipo madarakani, wapumbavu kama Msigwa wataendelea kuwepo tu.
Mama Naa ccm hao ndio watu inaowahitaji na hata kama una akili ukiingia unaziweka pembeni siku ukitoka unavaa akili zako maisha yanaendelea
Mfano mzuri ni Tulia, Polepole Migiro Bashiru kabudi
 
Siyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee.

Mwigulu: Rais anawashauri wananchi muitumie tarehe 9 desemba 2025 kwa mapumziko hivyo kushereheka siku hiyo mkiwa nyumbani.

Simbachawene: Nimemuagiza IGP Wambura, kuhakikisha ukamataji wa Watu unafuata taratibu za kisheria na amepiga marufuku Polisi kuwakamata Watu kibabe wakiwa wamevaa kininja, wakiwa bila sare na silaha kubwa.

Msigwa: Kufanya maandamano kesho ni kuvunja sheria.

Tunasubiri kauli za Wambura na Muliro ili nazo ziwe documented.

uchawa tu maji yameshamwagika
 
Sheikh Sharif alikuwa anaandamana ?
 
Endapo washika hatamu wa nchi hii watabadalika, mtu wa kwanza kabisa anaepaswa kupumzishwa majukumu ni Gerson Msigwa.

By far, katika historia ya wasemaji wa serikali, huyu jamaa ndio kinara wa ukilaza, unprofessionalism, kiburi, majivuno na ujuha.

Nani sijui alimdanganya kuwa akikunja sura yako na kutoa mijicho yake huku akiongea kizungu asichoweza kukitamka ndio anakuwa professional.
Mlio karibu na huyu mwambieni tunamsubiri huku chini, it's mattter of time. Kiburi yake ni levels nyingine
 
Endapo washika hatamu wa nchi hii watabadalika, mtu wa kwanza kabisa anaepaswa kupumzishwa majukumu ni Gerson Msigwa.

By far, katika historia ya wasemaji wa serikali, huyu jamaa ndio kinara wa ukilaza, unprofessionalism, kiburi, majivuno na ujuha.

Nani sijui alimdanganya kuwa akikunja sura yako na kutoa mijicho yake huku akiongea kizungu asichoweza kukitamka ndio anakuwa professional.
Haya ni mazao ya JIWE, Jamaa watu walimkubali ili binafsi niliona kabisa Taifa linaenda kugonga mwamba sehemu, Mungu amrehemu huko alipo ana mema yake mengi Tu amefanya hasa kulinda rasilimali ila pia kachangia pakubwa sana kutufikisha hapa tulipo.
 
Back
Top Bottom