PostGE2025 Mo29; Ole wake atakayeandamana. D9; Nimetumwa na Rais niwaombe msiandamane. Kwa kinyonge sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Siyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee.

Mwigulu: Rais anawashauri wananchi muitumie tarehe 9 desemba 2025 kwa mapumziko hivyo kushereheka siku hiyo mkiwa nyumbani.

Simbachawene: Nimemuagiza IGP Wambura, kuhakikisha ukamataji wa Watu unafuata taratibu za kisheria na amepiga marufuku Polisi kuwakamata Watu kibabe wakiwa wamevaa kininja, wakiwa bila sare na silaha kubwa.

Msigwa: Kufanya maandamano kesho ni kuvunja sheria.

Tunasubiri kauli za Wambura na Muliro ili nazo ziwe documented.
Screenshot_20251129-214516~2.png
 
Haya ni mazao ya JIWE, Jamaa watu walimkubali ili binafsi niliona kabisa Taifa linaenda kugonga mwamba sehemu, Mungu amrehemu huko alipo ana mema yake mengi Tu amefanya hasa kulinda rasilimali ila pia kachangia pakubwa sana kutufikisha hapa tulipo.
Uko sahihi, hii kutekana, kunajisi chaguzi na viongozi kuwa na vibuti ilikuwa ni impementation ya magu. Igunduge
 
Siyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee.

Mwigulu: Rais anawashauri wananchi muitumie tarehe 9 desemba 2025 kwa mapumziko hivyo kushereheka siku hiyo mkiwa nyumbani.

Simbachawene: Nimemuagiza IGP Wambura, kuhakikisha ukamataji wa Watu unafuata taratibu za kisheria na amepiga marufuku Polisi kuwakamata Watu kibabe wakiwa wamevaa kininja, wakiwa bila sare na silaha kubwa.

Msigwa: Kufanya maandamano kesho ni kuvunja sheria.

Tunasubiri kauli za Wambura na Muliro ili nazo ziwe documented.
Ni kama wanabariki maandamano kiaina.
 
Maandamano ni lazm.mama samia kesho atajiuzulu kuwa rais.kesho msisahau kujiham,mm nimeanda silaha kali.
 
Back
Top Bottom