Mwanza wamejaza wanajeshi utazani nchi ipo vitani.Siyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee.
Wewe ndio huijui CCM, watu kama hao ndio wanapendwa na ccm ndio maana ana vyeo viwili.Endapo washika hatamu wa nchi hii watabadalika, mtu wa kwanza kabisa anaepaswa kupumzishwa majukumu ni Gerson Msigwa.
By far, katika historia ya wasemaji wa serikali, huu jamaa ndio kinara wa ukilaza, unprofessionalism, kiburi, majivuno na ujuha.
Nani sijui alimdanganya kuwa akikunja sura yako na kutoa mijicho yake huku akiongea kizungu asichoweza kukitamka ndio anakuwa professional.
Endapo washika hatamu wa nchi hii watabadalika, mtu wa kwanza kabisa anaepaswa kupumzishwa majukumu ni Gerson Msigwa.Wewe ndio huijui CCM, watu kama hao ndio wanapendwa na ccm ndio maana ana vyeo viwili.
😀😀😀Siyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee.
Mwigulu: Rais anawashauri wananchi muitumie tarehe 9 desemba 2025 kwa mapumziko hivyo kushereheka siku hiyo mkiwa nyumbani.
Simbachawene: Nimemuagiza IGP Wambura, kuhakikisha ukamataji wa Watu unafuata taratibu za kisheria na amepiga marufuku Polisi kuwakamata Watu kibabe wakiwa wamevaa kininja, wakiwa bila sare na silaha kubwa.
Msigwa: Kufanya maandamano kesho ni kuvunja sheria.
Tunasubiri kauli za Wambura na Muliro ili nazo ziwe documented.
uzuri uku tunaongea mara 1 tu baada ya hapo vilio vitatoa feedbackSiyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee.
Mwigulu: Rais anawashauri wananchi muitumie tarehe 9 desemba 2025 kwa mapumziko hivyo kushereheka siku hiyo mkiwa nyumbani.
Simbachawene: Nimemuagiza IGP Wambura, kuhakikisha ukamataji wa Watu unafuata taratibu za kisheria na amepiga marufuku Polisi kuwakamata Watu kibabe wakiwa wamevaa kininja, wakiwa bila sare na silaha kubwa.
Msigwa: Kufanya maandamano kesho ni kuvunja sheria.
Tunasubiri kauli za Wambura na Muliro ili nazo ziwe documented.
Haha wamechanganyikiwa.
Mama Naa ccm hao ndio watu inaowahitaji na hata kama una akili ukiingia unaziweka pembeni siku ukitoka unavaa akili zako maisha yanaendeleaEndapo washika hatamu wa nchi hii watabadalika, mtu wa kwanza kabisa anaepaswa kupumzishwa majukumu ni Gerson Msigwa.
Dhana yangu ilijumuisha kutokuwepo kwa CCM kwenye hatamu. For as long as CCM ipo madarakani, wapumbavu kama Msigwa wataendelea kuwepo tu.
Haha wamechanganyikiwa.
Ila wewe jamaa 😁uzuri uku tunaongea mara 1 tu baada ya hapo vilio vitatoa feedback
Siyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee.
Mwigulu: Rais anawashauri wananchi muitumie tarehe 9 desemba 2025 kwa mapumziko hivyo kushereheka siku hiyo mkiwa nyumbani.
Simbachawene: Nimemuagiza IGP Wambura, kuhakikisha ukamataji wa Watu unafuata taratibu za kisheria na amepiga marufuku Polisi kuwakamata Watu kibabe wakiwa wamevaa kininja, wakiwa bila sare na silaha kubwa.
Msigwa: Kufanya maandamano kesho ni kuvunja sheria.
Tunasubiri kauli za Wambura na Muliro ili nazo ziwe documented.
Wameshatema bungoHaha wamechanganyikiwa.
Sheikh Sharif alikuwa anaandamana ?Siyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee.
Mwigulu: Rais anawashauri wananchi muitumie tarehe 9 desemba 2025 kwa mapumziko hivyo kushereheka siku hiyo mkiwa nyumbani.
Simbachawene: Nimemuagiza IGP Wambura, kuhakikisha ukamataji wa Watu unafuata taratibu za kisheria na amepiga marufuku Polisi kuwakamata Watu kibabe wakiwa wamevaa kininja, wakiwa bila sare na silaha kubwa.
Msigwa: Kufanya maandamano kesho ni kuvunja sheria.
Tunasubiri kauli za Wambura na Muliro ili nazo ziwe documented.
Mlio karibu na huyu mwambieni tunamsubiri huku chini, it's mattter of time. Kiburi yake ni levels nyingineEndapo washika hatamu wa nchi hii watabadalika, mtu wa kwanza kabisa anaepaswa kupumzishwa majukumu ni Gerson Msigwa.
By far, katika historia ya wasemaji wa serikali, huyu jamaa ndio kinara wa ukilaza, unprofessionalism, kiburi, majivuno na ujuha.
Nani sijui alimdanganya kuwa akikunja sura yako na kutoa mijicho yake huku akiongea kizungu asichoweza kukitamka ndio anakuwa professional.
Ni Tz nzima mzee, mijini Hadi mawilayani mapoti wanafanya yaoMwanza wamejaza wanajeshi utazani nchi ipo vitani.
Haya ni mazao ya JIWE, Jamaa watu walimkubali ili binafsi niliona kabisa Taifa linaenda kugonga mwamba sehemu, Mungu amrehemu huko alipo ana mema yake mengi Tu amefanya hasa kulinda rasilimali ila pia kachangia pakubwa sana kutufikisha hapa tulipo.Endapo washika hatamu wa nchi hii watabadalika, mtu wa kwanza kabisa anaepaswa kupumzishwa majukumu ni Gerson Msigwa.