KERO Mochwari Muhimbili nao wanakula kwa urefu wa kamba?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kinachoongelewa hapa ni RUSHWA na si wivu dhidi ya hawa mortuary attendants.
 
Wabongo tunapenda huruma za kipumbavu ndio maana rushwa hautokaa iishe wala kupungua hii nchi maana wananchi wamehalalisha.

Jitu linasema ati ooh kazi ni ngumu inabidi umuachie chochote, sasa kazi ngumu si aache kwani kalazimishwa kuifanya? Hamna wa kuifanya zaidi yake?
Kwahiyo kila mtz akijipima akanona kazi yake ni ngumu ni halali yake kuchukua rushwa na wakati ana mshahara wake.
Jinga kabisa nyie watu na sijui kwanini huwa mnawalaumu wabunge wakati na wao wanaona kazi yao ni ngumu hadi wanajilimbikizia mipesa.
 
Nchi hii ina watu manyang'au wengi sana kila kona.
 
Umewahi enda mortuary boss au unadhani kila kazi inaweza fanywa na mtu yoyote?

Unadhani mishahara hii ya serikalini hata ya waalimu inatosha gharama za maisha?

Unaweza chukua laki sita tukupeleke mortuary upige kazi kwa mwezi kigezo usichukue hata 100 ya wafiwa ndugu mzalendo?
 
Wanafuata kauli mbiu ya Bi chura ya kula kwa urefu wa kamba
 
Aisee, ile kazi ni kazi kwa kweli huku kwetu yule jamaa wa pale akili zake zipo kama kuna muda hazipo vile. Muda mwingine tuwahurumie tu jamani japo wanachokifanya sio sahihi.
 
Sasa si ungeongeza idadi ya wafu hapo?hao wahudumu unge wa unlive pia
 
POLE SANA . INAUMA SANA MTU AMFARUKI KISHA UNAAMBIWA UMLAZE SAKAFUNI HALAFU UONDOKE
 
Chukua Points Zote
 
Usiombe ukutane na mtu anataka rushwa ya lazma sio ombi, nliwahi kutana na askari anataka rushwa tena lazima yani ili amtoe ndugu yangu lock up pale kisutu kumrudisha central analazimisha elf 50 ya mafuta.....nilivokua na hasira nikamwambia baki nae ukiwa tayari kumpeleka utampeleka mie hata mia sina 😏😏 kuna mijitu inajua kukera
 
Mgeutafuta uongozi wa hospitali
 
Hahahaha kudadeki,hata boss hawamjui???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…