Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Kazi ipoWewe jamaa mjinga sana. Yaani watu wanakemea rushwa wewe unasapoti? Au ndiyo wewe mhudumu wa mortuary?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ipoWewe jamaa mjinga sana. Yaani watu wanakemea rushwa wewe unasapoti? Au ndiyo wewe mhudumu wa mortuary?
Si uingie mwenyewe ukaandae maiti ya ndugu yako?? Unalialia nini sasaWewe jamaa mjinga sana. Yaani watu wanakemea rushwa wewe unasapoti? Au ndiyo wewe mhudumu wa mortuary?
Aliyewafungulia mlango wa mortuary ni nani hadi mkapata access ya kuingia na akawaambia mumtoe kwenye jeneza na kumlaza sakafuni?Ni mikoa yote tu, miaka kadhaa nyuma, kuna huyo mwingine tuli mtaarifu mchana kuwa tuna tegemea kupokea maiti ya ndugu yetu inaingia usiku kutoka Dar, katika wilaya moja ya Mkoa wa iringa. Akatuambia yeye hata kuwepo zamu yake inaisha saa tisa na nusu kwa hiyo akampigia ambae atakuwa zamu akampa taarifa kuwa kuna maiti inategemea kuingia ule usiku akasema sawa. Tukafanya malipo ya siku mbili kwamba akifika atakaa huo usiku na kesho yake. Tuna tegemea kuzika kesho kutwa yake.
Sasa baada ya maiti kuingia huo usiku pamoja na msafara tumefika mochwari, hakuwepo kwa sababu tulikuwa tumepewa namba yake mchana ikabidi tumpigie kwa kujua labda alikuwa maeneo yaleyale ya hospital, cha kushangaza tuna mpigia simu anasema ni kweli yuko zamu ila kuna sehemu ameenda kwa hiyo tumtoe katika jeneza tumu weke kwenye sakafu ya mochwari, kwa sababu kuna baridi sana maiti haita haribika yeye atakuja kumhifadhi asubuhi. Ndugu na jamaa waliyo kuwepo pale mochwari, walichukia sana kusikia ndugu yao awekwe kwenye sakafu akae mpaka asubuhi ndo aje kuhifadhiwa.
Tuka muomba sana, atuelekeze alipo kwa sababu tuko na magari tumfuate ule usiku ila alikataa katakata kutuelekeza alipo, na mwisho wa siku alituzimia simu, kwa hiyo tukapata adhabu yakukaa na maiti ikiwa kwenye jeneza hadi asubuhi na ile baridi mpaka alivyorudi saa 12 asubuhi. Kuja kuongea nae vizuri ni kama alitaka hongo ili aje kumhifadhi halafu aendelee na mambo yake.
Mtu akilazimishwa kuwa Rais haya yanayoendelea Tz ndio madhara yake mtu huyo hawezi kujali chochote.Na kila mtu atamchukulia poa kama yeye alivyojichukulia poa .1. Majuzi nilipata msiba wa Kaka yangu hapo Muhimbili basi akapelekwa Mochwari.
2. Siku ya kutoa maiti kwa ajili ya ibada na Maziko (mhudumu anataka TSH 200,000) mbali na zile gharama ambazo tulililipia na kupewa risiti halali.
3. Wale wahudumu kama hujatoa pesa ya chai utashinda kutwa nzima hapo uking'aa sharubu na tena unafukuzwa kama Mbwa na jeneza ulilokuja nalo.
4. Hakika, Mochwari Hospitali ya Taifa (Tanganyika) mnastahili tuzo ya Nobel ili dunia itambue mchango wenu na Prof wa Milo miwili kwa wiki
Unaweza kutoa chochote na bado wakakupiga. Hawana maana hao jamaaPole sana aisee.
Ila kwa kazi ya mortuary boss toa chochote kitu huwa hawapo vizuri kichwani (fanya kama unampa msaada)
Ile ni sehem ngumu sana kufanya kazi trust me.
Wapo kukusanya pesa za ujenzi wa nyumba zaoUnaweza kutoa chochote na bado wakakupiga. Hawana maana hao jamaa
Rushwa imetua Mochwari. Nchi imefunguka!Kama rushwa imeingia mpaka mortuary, dunia imekwisha, matajiri watazidi kuumiza masikini.
Nimefanya Kazi mochwari ila sijawahi kula pesa ya marehemu ama ya wafiwa ila yangu imeliwa hapohapo mochwari za Muhimbili na Mwananyamala1. Majuzi nilipata msiba wa Kaka yangu hapo Muhimbili basi akapelekwa Mochwari.