KERO Mochwari Muhimbili nao wanakula kwa urefu wa kamba?

KERO Mochwari Muhimbili nao wanakula kwa urefu wa kamba?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wana utaratibu wa kuzika makaburi ya manispaa ukiacha mwili, Serikali ikiweka utaratibu mzuri wa kuhoji miili inayozikwa bila ndugu sababu ni nini itapunguza hili.
 
Oooh kumbe jibu unalo sasa tunapo kwambia kila kazi zina wenyewe
Kazi za Mochwari zinafanyika vizuri tu. Tangaza nafasi za kazi watu wataaply wa kutosha. Si vibaya kumpa asante mfanyakazi wa Mochwari ukizingatia mazingira ya kazi ila isiwe lazima kwa kiwango cha kugomea maiti isizikwe na ndugu kisa hujahongwa.
 
Wawajali Kwa maslahi mazuri hao wafanyakazi wa hayo maeneo wao wanajipendeleaga wao Tu Kwa maposho kedekede,,kumlinda maiti si Mchezo
 
Ukifika kwenye Jimbo la Hai, Hospital ya wilaya ya Hai, mwenye duka la kuuza majeneza ni msimamizi mkuu wa Mochwari ya Hospital hiyo.

Sasa jiulize maswali na ujijibu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom