KERO Mochwari Muhimbili nao wanakula kwa urefu wa kamba?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Aliyewafungulia mlango wa mortuary ni nani hadi mkapata access ya kuingia na akawaambia mumtoe kwenye jeneza na kumlaza sakafuni?
 
Mtu akilazimishwa kuwa Rais haya yanayoendelea Tz ndio madhara yake mtu huyo hawezi kujali chochote.Na kila mtu atamchukulia poa kama yeye alivyojichukulia poa .
 
Sio mikoa yote tu ni taasisi zote za serikali zimeoza kabisa. Wapo watumishi wa Umma kwa mazoea hata kama ana shida yeye anataka ahongwe. Amezoea kuwaza waza rushwa
 
Misharaha ni midogo na haitoshi, toa pesa wacha malalamiko ya vtu vdgo unataka wao wale wapi kufa kufaana.
 
Kama rushwa imeingia mpaka mortuary, dunia imekwisha, matajiri watazidi kuumiza masikini.
 
Mhudumu wa mochwari usipojenga umetaka mwenyewe
 
Muhimbili bado wanakusanya parking fee?
 
Aisee mm kaz ya monchwali siwez fanya hata nipewe ml kila siwez nilienda siku moja kuendea mait mochwali ile kaz hapana
 
Nimefanya Kazi mochwari ila sijawahi kula pesa ya marehemu ama ya wafiwa ila yangu imeliwa hapohapo mochwari za Muhimbili na Mwananyamala
 
Nimefanya Kazi mochwari ila sijawahi kula pesa ya marehemu ama ya wafiwa ila yangu imeliwa hapohapo mochwari za Muhimbili na Mwananyamala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…