Au labda nyuzi zako zinakiuka mashart ya jf au?Aisee Nashindwa kuwaelewa
Ni kweli itakuwa unakosea mahali, wape taarifaMkuu nahisi kuna mahala nakosea labda na hawasemi ila kwa nini wafute bila kunipa taarifa wala kunijuza wapi nimekosea?
Wakifuta nyuzi si wanakupa feedback?Ewe mod uliye kazini toka jana usiku ni nini hasa mimi de Gunner nimekukosea?
Una futa Kila Nyuzi niianzishayo, je una uhasama na mimi?
Kwa nini usije inbox yangu na ufunguke, au labda kama unashida ya pesa uniambie tu mkuu,
Kila Nyuzi nayo anzisha unapita nayo mkuu daah
Wanabodi huyu mod ananifanyia mbaya sana, na Nime Vumilia sana.
Maxence Melo Payge Active Moderator
Au ndo wewe umekuja na magamba ya ID feki?Mjomba ukifuata vigezo na masharti ya JamiiForums, hakuna atakaye futa nyuzi zako.
Ukiwa mkaidi wanaweza kukuzawadia banNi wape taarifa gani? Na sijui nilipo kosea?
Oh ,huwa wanatoa mrejesho labda imeviolate kanuni za JF.Hakuna cha feedback wala nini.