Mod uliye kazini: Una uhasama nami au ni shida gani?

Sasa kwa siku una anzisha nyuzi mpaka 5 we uko Sawa kabisa unajiona?
Njoo nikupe kibarua Cha kulima na kuchunga mifugo yangu upate kitu Cha kukuweka bize kijana.
 
Nimechamba ama nimesema ukweli? Na kwanini mods huwa hawapendi kukosolewa?

Je hili jukwaa lina maanisha nini kusema watu wako huru kupaza sauti bila judgements?
Sauti zingine hazina sababu ya kupaa banah
 
Hilo linashangaza sn mkuu,,
Sometimes mtu anaanzisha uzi wa kipuuzi ila unawekwa jukwani hata mwezi..
Nyuzi za maana zinafutwa.
Hata mimi nafunguwa nyuzi kibao za kero,,ila zinafutwa pia..
 
Unashindwa kuelewa nini ? Wewe kwa drama zako hizi na bado unavumiliwa hujishangai ?
Tena ukute wewe ndezi ndiye unaye Peleka malalamiko maana huwa nakupigia spana mpaka unakema
 
Hilo linashangaza sn mkuu,,
Sometimes mtu anaanzisha uzi wa kipuuzi ila unawekwa jukwani hata mwezi..
Nyuzi za maana zinafutwa.
Hata mimi nafunguwa nyuzi kibao za kero,,ila zinafutwa pia..
Hawataki u question madhaifu yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…