Moderator:umenikose heshima kuanika ukweli ukaniunganisha kwenye kuchania kuhusu Bar kubwa na TRA

Moderator:umenikose heshima kuanika ukweli ukaniunganisha kwenye kuchania kuhusu Bar kubwa na TRA

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Nilieleza uzi kuhusu:
Alafu wana mashine zao zishakata kodi yani sio EFD.
Nilishawai kugambana nao kitambaa cheupe niwape TIN yangu kwasababu VAT walikimbia hawa taki kuwa na mashine
Kilicho fata ukapeleka kuunganisha mada watu wakwepe ukweli.

Shida hipo wapi wakati naeleza kuhusu kodi na TRA
 
Nilieleza uzi kuhusu:

Kilicho fata ukapeleka kuunganisha mada watu wakwepe ukweli.

Shida hipo wapi wakati naeleza kuhusu kodi na TRA
Du kamanda nini kimekukuta mwenzetu naona ? hebu lete tena uzi huo tuine ukweli moderator alichokwepesha
 
Back
Top Bottom