bonjov
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,600
- 3,510
Wengine washaenda TiiaraEii kumwaga ugali 😂Tunaoshangaa hiyo bill wote tuelekee VETA
Wengine washaenda TiiaraEii kumwaga ugali 😂Tunaoshangaa hiyo bill wote tuelekee VETA
Mshahara wangu wa mwaka ni 13 m. Mwamba kaipiga kwa usiku. Ila pia hivyo vitu vipo overpriced kwa mfano maji nusu lita elf 10,000/Dunia haitakaa ije kuwa na usawa, kuna mtu anaweza kutumia milioni kumi na moja kwa matumizi ya burudani na huwenda ni ya siku moja!
Hizo milion ni mshahara wa mtu miaka zaidi ya mitano!
Blow job kunyonywa ubooAise waje haraka sana. Na mimi ninetoka kapa. Labda nineambulia kujuwa bei ya Redbull tu ni Tsh 9,000
Nipitie magomeni mikumiTunaoshangaa hiyo bill wote tuelekee VETA
Acha ajifunze majina 😹😹Hivyo ni vinywaji mkuu 😹😹
Umeona ‘sex on beach’ ukajua hapo unapewa mbususu juu ya bahari 🤣
Hebu watag TRA,tusikose mapatoAlafu wana mashine zao zishakata kodi yani sio EFD.
Nilishawai kugambana nao kitambaa cheupe niwape TIN yangu kwasababu VAT walikimbia hawa taki kuwa na mashine
Tuelekee chang'ombe? 😁Nipitie magomeni mikumi
Wew dogo ebu nenda samakisamaki pale ukaagize menyuUsidanganywe na vitu vya mtandaoni mkuu. Hizi ni blah blah tu.
Money laundering...Hiyo ni bill ya uongo hawa mafala wanacheza na Akili zenu Tu, Ila wabongo ni rahisi Sana kuingia king
Haya mambo yapo sana usibishe kitu hukijuiChai hiyo mkuu. Wanataka trend to Mtandaoni.
Hapo kajua show ya baharini itakua motro wa kuotea mbali 😹😹Acha ajifunze majina 😹😹
Unajua expenses kama hizi watu wengi wanafanya kwa special occassion tu tena mara nyingi wakiwa na watu maalum. Ila bado kuna matajiri fedha kama hizi ni ndogo sana, japo wengi watakuwa wageni.Imebidi ni gugu hizo ace of spade rose and gold.... marekani huko zinaanzia dola 500 chupa moja mpaka 700 inategemea na umri....
Tuseme tu tutafute hela. Mshahara wa miezi kadhaa unauacha ndani ya usiku mmoja....