Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

Ajabu ni kuwa pamoja na hayo panajaa kinoma had asubuh jua hili hapa ndio watu wanasepa ...

Kuna namna pale.
Ni kama Kitambaa cheupe tu, ukiingia unakesha bila kujua.
Ukienda na milioni hata saa 6 usiku hufiki inakuwa Salio limeisha

Kama blowjob's tu ni 84,000 kuikodi Papa Usiku mmoja si utaambiwa dollar 500 🙌
 
Hizo ni sawa na kama $4,230

Kwa Kibongo Bongo wenye huo uwezo wa kutumia kiasi hicho cha fedha labda Viongozi wetu wa kiSiasa, hasa hawa Vijana jamii ya akina Bashe na Mwigulu

Ama wasanii wakubwa jamii ya akina Diamond Platinums

Ama watoto wa akina Barhessa, japo Kwa Ramadhani hii, sio rahisi wao kufanya anasa hizo

Ila Kwa mshangao ulipigwa na members wengi humu, inaonesha wengi tunaishi Chini ya dollar 4 Kwa Siku

Tuendelee kutafuta hela tu
Kwa bongo wapo wengi tu wanaoweza kufanya manunuzi ya hivyo nashangaa watu wanasema bill ya uongo
 
kuna sex on beach Tsh 42,000,
Niliwahi kujaribu ubartender kidogo kwenye maisha.

Kwahiyo sex on the beach huwa ni cocktail yenye kilevi ambayo inakuwa imechanganywa ma peach schnapps, orange juice, Vodka na cranberry juice

Kuna Ace of spade Gold Tsh 3,400,000, Ace of spade Rose Tsh 2,300,000. Ni vitu gani hivi?
Ma champagne hayo mkuu.

Blow Job ????? Hii siijui mkuu.
 
Kwa bongo wapo wengi tu wanaoweza kufanya manunuzi ya hivyo nashangaa watu wanasema bill ya uongo
Ni kweli wapo, ila ndiyo wachache

Dollar 4,230 sio hela ndogo

Labda umkute mchimbaji amefumania Dhahabu kwahiyo amekuja kula maisha na Watoto wazuri Mjini

Ama hawa Viongozi wetu wa kiSiasa, wao Wana hela nyingi zisizopita kwenye cashbook report zao
 
Ni kweli kiasi kikubwa ila amini kwamba wapo wengi tu wanaoweza hiyo bili( sijasema wengi kwa maana ya asilimia kubwa ya wa tz), kuna jamaa anakampuni kubwa tu tulikua tunafanya nae kazi matumizi ya nyumbani kwa mwezi ilikua ina r range 35 to 40 millions na alikua analipia kila mwezi unapoanza
 
Hahaha nacheka unakuta mwalimu anaomba mkopo wa 10M aulipe in six years.

Akipata huu mkopo aanze business au anunue gari na yeye avimbe.
Ndio maana Mimi nawashangaaga Watu wanaopenda kuvimba kuhusu hela... Hiyo ni pesa ndogo sana to be honest Lakini pia ni pesa kubwa uko linganisha per capita income ya Watanzania..
Hapa Ndio huwa nawaza why watanzania hawawaui mafisadi
 
Kuna Blow job Tsh 84,000, kuna sex on beach Tsh 42,000, nini kinafanyika hapa?

Kuna Ace of spade Gold Tsh 3,400,000, Ace of spade Rose Tsh 2,300,000. Ni vitu gani hivi?

Bill hiyo hapo angalieni wenyewe. Ni nini kinaendelea hapa Wavuvi Camp? Je TRA wanapata makusanyo hapa??

View attachment 3274347
Hivyo ni aina ya chakula ambavyo wamevipa hayo majina hizo nyingine ni combo ya pombe
 
Kuna Blow job Tsh 84,000, kuna sex on beach Tsh 42,000, nini kinafanyika hapa?

Kuna Ace of spade Gold Tsh 3,400,000, Ace of spade Rose Tsh 2,300,000. Ni vitu gani hivi?

Bill hiyo hapo angalieni wenyewe. Ni nini kinaendelea hapa Wavuvi Camp? Je TRA wanapata makusanyo hapa??

View attachment 3274347
Pale wanaingia nilijaribu nikazuiwa kuingia labda Pana watu special wapenda ngono
Pale wanaingia nilijaribu nikazuiwa kuingia labda Pana watu special wapenda ngono
blowjob ni 84k
 
Back
Top Bottom