Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

Kuna Blow job Tsh 84,000, kuna sex on beach Tsh 42,000, nini kinafanyika hapa?

Kuna Ace of spade Gold Tsh 3,400,000, Ace of spade Rose Tsh 2,300,000. Ni vitu gani hivi?

Bill hiyo hapo angalieni wenyewe. Ni nini kinaendelea hapa Wavuvi Camp? Je TRA wanapata makusanyo hapa??

View attachment 3274347
 

Attachments

  • 1742141954678.jpeg
    1742141954678.jpeg
    61.7 KB · Views: 24
Wacha wenye pesa watumie pesa zao..
Maji ya nusu lita, kilimanjaro ni sh 10000 mamaae [emoji1787] [emoji23] [emoji1787]

Hiyo sex on beach ni cocktail.
Ila hiyo kwa mromboo, sijui ndio cha arusha ama inafanana na kwa mpalange. [emoji1787]
Em fungua code zaidi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom