But hii ni dola 3000 tuKuna Blow job Tsh 84,000, kuna sex on beach Tsh 42,000, nini kinafanyika hapa?
Kuna Ace of spade Gold Tsh 3,400,000, Ace of spade Rose Tsh 2,300,000. Ni vitu gani hivi?
Bill hiyo hapo angalieni wenyewe. Ni nini kinaendelea hapa Wavuvi Camp? Je TRA wanapata makusanyo hapa??
View attachment 3274347
We jamaa Mungu anakuonaaa😀😀😀😀😀Hiyo blowjob ya 84,000 huyo mfanya blowjob kibogoyo kusema itakuwa nzuri sana au??
Chips kavuSkin Chips ikoje. Ngozi ya chips?
Sex on the beach ni cocktailSijaona bei za cocktail hapo... Na hivyo viwanja daily vinajaa