Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

Kuna Blow job Tsh 84,000, kuna sex on beach Tsh 42,000, nini kinafanyika hapa?

Kuna Ace of spade Gold Tsh 3,400,000, Ace of spade Rose Tsh 2,300,000. Ni vitu gani hivi?

Bill hiyo hapo angalieni wenyewe. Ni nini kinaendelea hapa Wavuvi Camp? Je TRA wanapata makusanyo hapa??

View attachment 3274347


Kuna maeneo ni ya VIP. Yako descriminative ili watu wenyewe wajiengue,wanaingia wenye uwezo. na dalili moja wapo ya kwamba kipato chako ni cha mawazo ukingia sehemu ya kula chakula utaanza kuuliza uliza bei ya vyakula kabla ya kutoa order(yaani unauliza vyakula vilivyopo na bei yake) yaani ukipewa menu unaazingatia zaidi bei badala ya aina ya chakula.unaagiza kulingana na urahisi wa bei) .ukiona hivyo ujue wewe bado unajitafuta.

Unaweza angalia hapa Wavuvi Kempu kila kitu kiko wazi. bei ya kila wanachouza kiko hapo
 
Hiyo ni bill ya uongo hawa mafala wanacheza na Akili zenu Tu, Ila wabongo ni rahisi Sana kuingia king
chief ni ukweli na TRA walisha timba hapo kuna watu walisha kamatwa wakapewa kiwango cha kodi wanatakiwa walipe ndani ya miezi mitatu bila kujua kipato chao.
 
Kuna Blow job Tsh 84,000, kuna sex on beach Tsh 42,000, nini kinafanyika hapa?

Kuna Ace of spade Gold Tsh 3,400,000, Ace of spade Rose Tsh 2,300,000. Ni vitu gani hivi?

Bill hiyo hapo angalieni wenyewe. Ni nini kinaendelea hapa Wavuvi Camp? Je TRA wanapata makusanyo hapa??

View attachment 3274347
Kama ambavyo wengine mnapiga bao tano kitandani acheni na hao wapige bao tano mezani
 
jmn life is supercalifragilisticexpialidocious for some people, mnakasirika nini?hiyo ni kama dola elfu 4 au tano ,sasa mtu kama ana birthday mfano ya watu kumi shida iko wapi?na hayo probably ni majina tu sema mnaconclude kutokana na your imagination aka dirty mind. yaani mtu mfano angekuwa anafanya ufuska wowote akaitwa items mji wa amani,mzee wa kanisa,amani ya roho nk i bet msingeona tatizo , sasa si unaona tatizo lilivyo fikra zenu? loosen up people hizi tabia za kutaka watu wote wawe sawa,wawe maskini sio chanya ni tatizo
Mwandiko wako tu unaonekana umeleft kwenye kundi la marijali
 
The "Sex on the Beach" cocktail's name is attributed to a Florida bartender named Ted Pizio in the 1980s. He created the drink, combining vodka, peach schnapps, orange juice, and cranberry juice, and named it after what he believed were the main reasons tourists visited Florida during spring break: "sex" and "the beach". While the story is not definitively confirmed, it's widely accepted as the origin of the name.

To each their own..., sina shida kabisa na watu kama hawa, ndio kazi ya pesa hio kukupa kitu roho inataka
 
na hayo probably ni majina tu sema mnaconclude kutokana na your imagination aka dirty mind. yaani mtu mfano angekuwa anafanya ufuska wowote akaitwa items mji wa amani,mzee wa kanisa,amani ya roho nk i bet msingeona tatizo , sasa si unaona tatizo lilivyo fikra zenu? loosen up people hizi tabia za kutaka watu wote wawe sawa,wawe maskini sio chanya ni tatizo
Unaweza ukawa unajiona umeandika vitu vya maana kwenye hii comment yako na mwandiko wako kama kono kono limepita, ila kwa mwenye akili timamu anaona umeandika upumbavu.

Unapowasema watu wana dirty minds kwa kutafsari hizo huduma kulingana na majina yake kama yalivyoandikwa kwenye menu una maanisha nini hasa kilaza mkubwa wewe?

Kwa mara ya kwanza unaskia "sex on the beach" wewe unafikiri kwa haraka haraka tafsiri itakayoniijia kichwani ni ipi kama sio huduma ya ngono? Kwamba ulitaka watu waskie neno "sex" halafu wajiongeze wenyewe eti yawezekana hiki ni kitu kingine kabisa tofauti na ngono?

Kwani kuna ulazima gani kuita vinywaji majina ya ajabu ajabu hivyo? Kwanin kama ni cocktail wasiite hata jina la components zake hili kuleta mantiki sahihi Kama inatengenezewa lemon au orange au cucumber..?!!

Yaan watu wana tafsiri huduma kulingana na jinsi ulivyoamua kuipresent halafu wewe unawaona eti wana fikra na imagination mbovu? Nafikiri wewe na huyo mmiliki wa hiyo bar ambaye ameona ni ujanja kuita huduma ya kinywaji "sex on beach" ni binadamu wa WAPUMBAVU AMBAO HAMJIJUI KAMA NI WAPUMBAVUU

Kwa hiyo hata mimi nikiskia jina la Lovelia de valmorra impression yangu ya kwanza nihisi yawezekana huyu ni karungu yeye na wala sio binadamu ambaye ni member huku JF si ndio maanake?
 
Back
Top Bottom