Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

Bill inaweza kuwa ya kweli au La.

Ingawa watu wana hela, mfano mdogo tu, kama mtu anaweza kununua LC300 mil 400+ ashindwe kutoa 10m per day?


Kuna Hotels per night kulala ni zaidi ya mil 7/8 unakuta watu wamekuja familia nzima wanalala hapo wiki nzima. Wamekuja na ndege na wanaondoka na ndege (Charter)..

Na bado wanakula Maisha..

Jamani watu wana hela...
 
Thing is real mzee, mitandao hp isisingiziwe!!
Yani ikifika ile time ya kukaribia ile time ya helo jua, saa nane hv usiku mnatolewa wote wanafanya usafi na mnawekewa kiingilio 50k na mnalipa vzr bila chenga sijui kuna nn pale, humo ndani kuna makahaba wenye vipato!
Hatankama sijawahi kufika huko ninaishi Kazurumimba huku ila huo ni uongo hunidanganyi bila ya Tsh 11M per Day.

Chai.
 
Kwa nchi kama Tanzania yafaa sote tujiulize haya mapesa yanatoka wapi?? Kwann miradi mingi imesimama au inasuasua sana lakini tunaona ukwasi mkubwa kwa watu ambayo sio mbaya watu kuwa na ukwasi ila kwamba hela hizi zinaibwa serikalini ni jambo la kuudhi sanaaa....
Unapoteza muda wako kuwaza mavitu ya uongo. Hakuna matumizi ya 11M kwa siku hapa Tanzania. Hizo ni blah blah.
 
ni uongo hiyo bili ni fake sio ya kweli.
Itakuwa kama ulivyosema wanataka kutrend tu mitandaoni
Kuna huduma zimewekwa kwenye hiyo risit siyo rasmi na haziruhusiwi hakuna leseni ya kufanya hizo huduma
Eri blow Jo and beach sijui swimming pool sex. Pumbavu kabisa. Anawapotosha vijana wenye tamaa wakaibe kwa kuwa wanaaminishwa maisha ni mepesi.

Hakuna kitu kama hiki.
 
Kuna Blow job Tsh 84,000, kuna sex on beach Tsh 42,000, nini kinafanyika hapa?

Kuna Ace of spade Gold Tsh 3,400,000, Ace of spade Rose Tsh 2,300,000. Ni vitu gani hivi?

Bill hiyo hapo angalieni wenyewe. Ni nini kinaendelea hapa Wavuvi Camp? Je TRA wanapata makusanyo hapa??

View attachment 3274347
jmn life is supercalifragilisticexpialidocious for some people, mnakasirika nini?hiyo ni kama dola elfu 4 au tano ,sasa mtu kama ana birthday mfano ya watu kumi shida iko wapi?na hayo probably ni majina tu sema mnaconclude kutokana na your imagination aka dirty mind. yaani mtu mfano angekuwa anafanya ufuska wowote akaitwa items mji wa amani,mzee wa kanisa,amani ya roho nk i bet msingeona tatizo , sasa si unaona tatizo lilivyo fikra zenu? loosen up people hizi tabia za kutaka watu wote wawe sawa,wawe maskini sio chanya ni tatizo
 
😹😹😹 Mimi mwenyewe nilishangaa mara ya kwanza, naagiza nakutana na kiglass kina ice, na mipombe tofauti iliyomixiwa mpk na juice 🤣
Pombe inaungwa km pilau? Lol 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom