Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

Hakua peke yake huyo,walikua zaidi ya watu 8 hapo,list ya vunjwaji inaonyesha na vingine wamepewa bure kama Coca-Cola nk
Tena ingefika hata 15m
Starehe gharama bana
Kuna watu wShatumia bill zaidi ya hiyo haha 😄 mwisho wa siku wakaja kujuta

Ova
 
1. Huka huka ni michezo ya Kibrazili inafanana na mieleka kibongo bongo. Kuiona ni lazima ulipe kiingilio
2. Ace of Spades Rose ni alicoholic (12.5%)champagne kutoka Ufaransa bei yake ni around dollar 850. Kumbuka haiuzwi sehemu yoyote kama mbaazi.
3.Don Julio ni whisky kutoka Holland
4.Martell Blue swift-French spirit
5.Sex on the beach= alcoholic cocktail yenye odka, peach schnapps, juisi ya machungwa na cranberry juice
6.Skin chips=zinatozotokana na maganda ya viazi. Huku dunia ilikoanzia hakuna kinachotupwa kwenye kiazi cha chips
Huka Huka hapo ni Shisha mkuu,sio mchezo.
 
Blow job ni cocktail almost all restaurant wanazofanya cocktail wanatengeneza
 
Sema hizo ni hela nyingi kwa sie tusio na hela halafu kwa kuwa pia ipo kwa hela za kibongo, ila hiyo ukiiconvert kwa usd ni 4500/= tu.
Pia hapo ukiangalia vizuri hivo vitu sio mtu mmja hiyo ni kampani ya watu wengi pengine.
 
Kuna mzungu content creator you tube anaitwa architect Rusell muingereza anatoa somo sana kuhusu watanzania anakuambia demu wa kibongo status ya whatsapp anaweka picha anakunywa moet na yuko hyatt muda mfupi baadae anapiga mizinga.

Kuna ile mentality ya kujionesha tuna hela kumbe we are very broke.
 
Back
Top Bottom