Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,491
Kuna situation ukiwa unapitia kwenye maishaUsidanganywe na vitu vya mtandaoni mkuu. Hizi ni blah blah tu.
Kila kitu huonekana kama maigizo
Kuna situation ukiwa unapitia kwenye maishaUsidanganywe na vitu vya mtandaoni mkuu. Hizi ni blah blah tu.
Daah nimeshangaa sana...hyo Ada ya wtt wangu kwa mwaka..na chenji...hahhaahha 🤣 🤣 🤣 🤣Kwema mtani twenzetu wavuvi 😃😄
Si bora wewe mtaji, kuna watu toka wazaliwe hawajawahi kushika wala kumiliki pesa kama hiyo. Ni maisha tu mkuu, mwisho wa siku yote ni mambo ya kupita tu***** mtaji wangu mtu anautumia kwa masaa! Dah dunia haiko fair.
Tatizo la Watanzania wengi ni uelewa na ndiyo maana tunatawaliwa na dini za kuletewa mpaka leo hii. Nimekuuliza tu na sijakutukana, naomba unionyeshe ni wapi nilipokutukana mkuu? Ila samahani kama hukunielewa.Soma kwa kuelewa, acha matusi yasiyo na sababu. Mimi nimeweka bill ya Wavuvi Camp, watu wote tunashngaa yaliyomo. Wewe uneamua kunitukana??
Kwa maeneo mengine labda inaweza kuwa ya uongo ila sio Dar au hapo wavuvi, hivi unajua hiyo pesa ni kama USD 4400 hivi? Ambayo kwa Dar au raia na wazungu wanaoenda hapo ni pesa ya kawaida sana na hata mfukoni au kwenye gari parking wanayo ipo tu?Hiyo ni bill ya uongo hawa mafala wanacheza na Akili zenu Tu, Ila wabongo ni rahisi Sana kuingia king
Fid q ft Baraka da PrinceMkuu yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu.
Hio ni sehemu ya burudani, watu wanatumia Pesa zako kadri wanavyoona wao inafaa.
Be a Man.
Teh tehmara nyingi bei inapanda kulingana na eneo husika na hadhi, pili bidhaa zingine ni bei kubwa kwa sababu haitengenezwi nchini. Kwa mfano hiyo pombe inawezekana ni bei sana huko nje ya nchi. Kwa mfano bei ya maji ya chupa ndogo ukinunua Pale Tandale sokoni sh 750 maji hayo hayo yakauzwa hotel ya hadhi kubwa kwa sh.10,000. Mara nyingi sehemu zenye hadhi ya juu huweka vitu bei kubwa ili kuzuia watu wenye kipato kidogo kusogea pale. Hii ni mbinu ya kibiashara kuvutia matajiri wenye pesa, si unajua ndugu yangu wenye pesa hawataki kelele. Ngoja nilale mie.
Ha ha ha ha!Hiyo blowjob ya 84,000 huyo mfanya blowjob kibogoyo kusema itakuwa nzuri sana au??
Ndomana nkasema humu, wengi wanaokuwaga na matumizi kama haya ukija watafuta badaye utawakuta chaliiii 😄Kuna mzungu content creator you tube anaitwa architect Rusell muingereza anatoa somo sana kuhusu watanzania anakuambia demu wa kibongo status ya whatsapp anaweka picha anakunywa moet na yuko hyatt muda mfupi baadae anapiga mizinga.
Kuna ile mentality ya kujionesha tuna hela kumbe we are very broke.
Hakika !Ndomana nkasema humu, wengi wanaokuwaga na matumizi kama haya ukija watafuta badaye utawakuta chaliiii 😄
Huu usemi wa kusema sijui tumia pesa ikuzoeee blah blah...nikujifariji tu
Ova
Haya hapa matusi yako:-Tatizo la Watanzania wengi ni uelewa na ndiyo maana tunatawaliwa na dini za kuletewa mpaka leo hii. Nimekuuliza tu na sijakutukana, naomba unionyeshe ni wapi nilipokutukana mkuu? Ila samahani kama hukunielewa.
Sasa Cocktail ndio inapambwa hivyo??? Huyo Mzungu wa Wavuvi na Samaki Samaki (Fish Fish) mbona nae analeta Mbwembwe hizo? Mi nilijua unaweza kumla mtu pale pale mchangani???Hiyo ni cocktail, wala habanduliwi mtu.
Kuna cocktails zima majina ya kipuuzi nyingi tu kama idios motherfucker
Aisee Hiyo Dollar 4500 hata kwa wamarekani wenyenye ni pesa ndefu, sio pesa ndogo hiyo.Sema hizo ni hela nyingi kwa sie tusio na hela halafu kwa kuwa pia ipo kwa hela za kibongo, ila hiyo ukiiconvert kwa usd ni 4500/= tu.
Pia hapo ukiangalia vizuri hivo vitu sio mtu mmja hiyo ni kampani ya watu wengi pengine.
Nakuunga mkono, unajua kuna madaraja ya vipato...Ndomana nkasema humu, wengi wanaokuwaga na matumizi kama haya ukija watafuta badaye utawakuta chaliiii 😄
Huu usemi wa kusema sijui tumia pesa ikuzoeee blah blah...nikujifariji tu
Ova