Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Kiufupi niseme tu sijafikia level ya mafanikio ya kunywa pombe hata za laki 3 tu kwa siku😂!Kuna Blow job Tsh 84,000, kuna sex on beach Tsh 42,000, nini kinafanyika hapa?
Kuna Ace of spade Gold Tsh 3,400,000, Ace of spade Rose Tsh 2,300,000. Ni vitu gani hivi?
Bill hiyo hapo angalieni wenyewe. Ni nini kinaendelea hapa Wavuvi Camp? Je TRA wanapata makusanyo hapa??
View attachment 3274347
Hio bei ya "huka huka" tu ingetosha mimi kupata burudani ya kutosha kwa siku nzima.