Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

😹😹😹 uwe unajispoil udugu mara moja moja kuna majina unaweza kujua leo huko balaa kumbe cocktail 🤣🤣

SLIPPERY NIPPLE
DIRTY BANANA
SCREAMING ORGASM
BLUE LAGOON
ALABAMA SLAMMEI
MIAMI VICE
WOO WOO
SEX On a SNOWBANK
hayo hapo anza kujifunza..!! 😹🤣
Dadek naitaka hii slippery nipple inapatikana wapi hapo daslam?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Udugu haupo serious, majina mbona yanaogopeshaa. Lol
😹😹😹 Mimi mwenyewe nilishangaa mara ya kwanza, naagiza nakutana na kiglass kina ice, na mipombe tofauti iliyomixiwa mpk na juice 🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu udugu huwezi amini, kwenye mambo ya pombe mie sina nalojua.

Siku ya kwanza kwenda KFC, ujue nilitia aibu. Woiiiiih
😹😹😹 pole, em elezea ulivyotia aibu KFC
 
Kuna Mzee mmoja kwasasa ni marehemu, enzi za Uhai wake alikuwa ana ukwasi wa kutosha

Aliwahi kunieleza kwamba, kama unataka kufanikiwa kiuchumi ama Kijamii

Lazima uwe na nidhamu ya hali ya juu
Naam, nili bahatika kukutana na mzee fulani Mwaka huu kipindi niko safarini hapo mpakani.

yule mzee ana ukwasi haswaa, ila huwezi jua mpaka uambiwe au uone biashara zake.
na Wala havimbi
 
Jana kuna vijana wawili naona baada ya kazi nzito wakawa wanaambizana watenge 60,000 kwa ajili ya kwenda kula kisinia, eti mpaka wahudumu wawashangae 😁.

Kweli vya kwetu visinia 🥲😁.
Jana nilikuwa posta pale le grande casino aisee mule ndani watu wanaishi Dunia Yao Kabisa mule mtu kutumia milioni 7 kawaida sana
 
Back
Top Bottom