Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

Nyie waja hii "huka huka" ndo nn? Maana kwa lugha ya kwetu, imebidi nicheke na ilivyorudiwa mara 2 ndo nimechoka kabisa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli kiasi kikubwa ila amini kwamba wapo wengi tu wanaoweza hiyo bili( sijasema wengi kwa maana ya asilimia kubwa ya wa tz), kuna jamaa anakampuni kubwa tu tulikua tunafanya nae kazi matumizi ya nyumbani kwa mwezi ilikua ina r range 35 to 40 millions na alikua analipia kila mwezi unapoanza
Huyo kweli ana kipato kikubwa, Matumizi ya milioni 40/Mwezi ni almost anatumia shilingi milioni 1.3 Kwa Siku

Shilingi milioni 1.3/Siku ni kipato kikubwa kuliko cha Mbunge 🙌

Kweli usiseme hatuna hela, sema Mimi Sina hela 🙌
 
Udugu unifundishe hayo majina, yaan nimewaza ni mzagamuo juu ya maji ya blue. Kumbe ni pombee, woiiiiu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹 uwe unajispoil udugu mara moja moja kuna majina unaweza kujua leo huko balaa kumbe cocktail 🤣🤣

SLIPPERY NIPPLE
DIRTY BANANA
SCREAMING ORGASM
BLUE LAGOON
ALABAMA SLAMMEI
MIAMI VICE
WOO WOO
SEX On a SNOWBANK
hayo hapo anza kujifunza..!! 😹🤣
 
Huyo kweli ana kipato kikubwa, Matumizi ya milioni 40/Mwezi ni almost anatumia shilingi milioni 1.3 Kwa Siku

Shilingi milioni 1.3/Siku ni kipato kikubwa kuliko cha Mbunge 🙌

Kweli usiseme hatuna hela, sema Mimi Sina hela 🙌
Yes bro ni mtu mzito kwenye kampuni mmoja kubwa ya mafuta ( jina kapuni)
 
Huyo kweli ana kipato kikubwa, Matumizi ya milioni 40/Mwezi ni almost anatumia shilingi milioni 1.3 Kwa Siku

Shilingi milioni 1.3/Siku ni kipato kikubwa kuliko cha Mbunge 🙌

Kweli usiseme hatuna hela, sema Mimi Sina hela 🙌
Acha ulimbukeni bwana mdogo, haiwezekani kila siku mtu awe anatumia zaidi ya million moja kwa kufanya starehe hata wajukuu wa bakharesa hawafanyi huo ujinga
 
[emoji81][emoji81][emoji81] uwe unajispoil udugu mara moja moja kuna majina unaweza kujua leo huko balaa kumbe cocktail [emoji1787][emoji1787]

SLIPPERY NIPPLE
DIRTY BANANA
SCREAMING ORGASM
BLUE LAGOON
ALABAMA SLAMMEI
MIAMI VICE
WOO WOO
SEX On a SNOWBANK
hayo hapo anza kujifunza..!! [emoji81][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Udugu haupo serious, majina mbona yanaogopeshaa. Lol
 
Back
Top Bottom