Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

Hizo ni sawa na kama $4,230

Kwa Kibongo Bongo wenye huo uwezo wa kutumia kiasi hicho cha fedha labda Viongozi wetu wa kiSiasa, hasa hawa Vijana jamii ya akina Bashe na Mwigulu

Ama wasanii wakubwa jamii ya akina Diamond Platinums

Ama watoto wa akina Barhessa, japo Kwa Ramadhani hii, sio rahisi wao kufanya anasa hizo

Ila Kwa mshangao ulipigwa na members wengi humu, inaonesha wengi tunaishi Chini ya dollar 4 Kwa Siku

Tuendelee kutafuta hela tu
Chama Cha ma jobless pro max, kime sikitika maana sisi tuko chini ya dola 1 😂😂
 
Kuna Blow job Tsh 84,000, kuna sex on beach Tsh 42,000, nini kinafanyika hapa?

Kuna Ace of spade Gold Tsh 3,400,000, Ace of spade Rose Tsh 2,300,000. Ni vitu gani hivi?

Bill hiyo hapo angalieni wenyewe. Ni nini kinaendelea hapa Wavuvi Camp? Je TRA wanapata makusanyo hapa??

View attachment 3274347
sex on the beach ni jina la juisi hilo boss..🤣🤣🤣🤣
usifikirie watu wanaenda beach kudinyana
 
Hizo ni sawa na kama $4,230

Kwa Kibongo Bongo wenye huo uwezo wa kutumia kiasi hicho cha fedha labda Viongozi wetu wa kiSiasa, hasa hawa Vijana jamii ya akina Bashe na Mwigulu

Ama wasanii wakubwa jamii ya akina Diamond Platinums

Ama watoto wa akina Barhessa, japo Kwa Ramadhani hii, sio rahisi wao kufanya anasa hizo

Ila Kwa mshangao ulipigwa na members wengi humu, inaonesha wengi tunaishi Chini ya dollar 4 Kwa Siku

Tuendelee kutafuta hela tu
Kiufupi ndio mtaji wangu wa kwanza katika unga wa sembe 😂😂
 
Ni kweli wapo, ila ndiyo wachache

Dollar 4,230 sio hela ndogo

Labda umkute mchimbaji amefumania Dhahabu kwahiyo amekuja kula maisha na Watoto wazuri Mjini

Ama hawa Viongozi wetu wa kiSiasa, wao Wana hela nyingi zisizopita kwenye cashbook report zao
Nili enda kitambaa cheupe, nika ishia kunywa Ceres na supu 😂😂
 
Back
Top Bottom