Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,875
Reaction score
29,427
Kuna Blow job Tsh 84,000, kuna sex on beach Tsh 42,000, nini kinafanyika hapa?

Kuna Ace of spade Gold Tsh 3,400,000, Ace of spade Rose Tsh 2,300,000. Ni vitu gani hivi?

Bill hiyo hapo angalieni wenyewe. Ni nini kinaendelea hapa Wavuvi Camp? Je TRA wanapata makusanyo hapa??

Screenshot_20250317_185725_WhatsApp.jpg
 
Kuna Blow job Tsh 84,000, kuna sex on beach Tsh 42,000, nini kinafanyika hapa?

Kuna Ace of spade Gold Tsh 3,400,000, Ace of spade Rose Tsh 2,300,000. Ni vitu gani hivi?

Bill hiyo hapo angalieni wenyewe. Ni nini kinaendelea hapa Wavuvi Camp? Je TRA wanapata makusanyo hapa??

View attachment 3274347
Ni majina ya vyakula/vinywaji, special kwa hiyo sehemu bila shaka. N kama unavyokwenda restaurant ya kuuza pizza, unakutakana na majina ya pizza ya kuchekesha/kushangaza. Unakuta pizza inaitwa ''our shinning lady'' etc
 
Back
Top Bottom