Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

Attachments

  • FB_IMG_17375278620527460.jpg
    FB_IMG_17375278620527460.jpg
    302.5 KB · Views: 22
Acha ulimbukeni bwana mdogo, haiwezekani kila siku mtu awe anatumia zaidi ya million moja kwa kufanya starehe hata wajukuu wa bakharesa hawafanyi huo ujinga
Hiyo ni agenda nyingine Mkubwa

Hapo anazungumzia familia inayotumia shilingi milioni 35 hadi 40 Kwa Mwezi.

Sio huyo mtu aliyetumia milioni 11 kula bata hapa Wavuvi camp

Rudia kusoma post yake ya nyuma utaona
 
marketing strategy
Inawezekana ikawa kweli, kuweka bili ya mtu mtandaoni inaweza kufukuzisha wateja, si wote pesa wanazopata ni halali, zingine huwa ni zile unapiga simu unaletewa fungu kutokana na nafasi uliyonayo.
Hela ya jasho ni vigumu kuipukutisha kwa staili hii; wengi wanaopukutisha wanatumia hela za shortcut.​
 
Back
Top Bottom